Hamna kitu bongo hakijafika... Hujui tumechukua dhama ya uingereza Geza geza humshindiDuh!!!!!hizo green screens nadhani bongo hazijafika
Wanstumia studio za tv...clouds tv...itv...etc..Duh!!!!!hizo green screens nadhani bongo hazijafika
Ila kwa gari na kukatalia gari huwa zinaumia.... Sema wakati wa kutengenezewa ajali ndani yake kunakuwa hakuna mtu au wanaweka mfano wa mtu.... Watu wanacheza na vity vyao utaona gari limepinduka baada ya hapo mtu anawekwa kwa lile gari aonekana kuwa anatokea humo... Movie ni gharamaSehemu nyingi Computer inahusika, pale hamna gari inayoumia wala ndege inayotunguliwa.
Hiyo hufanyika hivi:- mtangazaji anapokaa nyuma yake kuna kitambaa cha kijani au blue ila asivae nguo yenye rangi sawa na kitambaa kilicho nyuma yake..Wanstumia studio za tv...clouds tv...itv...etc..
yale ma nacground ya nyuma ya watangazaji
Ni kweli tuwape muda tu.mzungu kuna wakati anakutolea kitu mpaka unajiuliA HV hii ni kweliiii au wanaigiza.Movie ikianza unajua kabsa inapoishishia sina mda nazo
Nimependa hicho kipande cha avatar, mdada ana sauti tamu sana

Ya! Mara nyingi wanatumia vitu vya kweli kabisa. Kama vile magari, location ila inatagemea na muvi yenyewe. Kwa mfano Wrong turn, vitu vingi ni halisi. Hata wale mutants ni costuming tuu imefanyika pale. Hata wanaporushwa na mlipuko ni kamba zinazotumika wakati wa kushoot muvi. The rest ni computerized.Wakubwa Mimi ni miongoni mwa wapenzi wakubwa wa kucheck movies,ila movies ninazozipenda ni action,vita na zile za kutisha japo Mara nyingine huwa napenda pia tamthilia za kisiasa sna ujasusi za Korea.Maswali yangu kwenu wataalam hv
1)Zile halaiki au makundi makubwa ya watu tunaowaona ktk vita wakiuana kwa mabomu na bunduki hv wale wote ni washiriki wa hzo movies na kama ni washiriki je wanalipwa?
2)Zile movie za kivita Mara nyingi huwa naona wanatumia madege,mizinga na silaha kubwa Hivi vitu huwa wanavikodi serikalini au ni vyao wahusika?
3)Yale mamovie ya kutisha mfano "The wrong turn",wale watu wanaokatwakatwa kama ngo'mbe buchani hv huwa inakuaje..mpk smtms unasahau kama ni maigizo.
Anayejua mambo hayo anitoe ushamba.