Boutafrica
JF-Expert Member
- Dec 11, 2014
- 1,260
- 2,745
Wakubwa Mimi ni miongoni mwa wapenzi wakubwa wa kucheck movies,ila movies ninazozipenda ni action,vita na zile za kutisha japo Mara nyingine huwa napenda pia tamthilia za kisiasa sna ujasusi za Korea.Maswali yangu kwenu wataalam hv
1)Zile halaiki au makundi makubwa ya watu tunaowaona ktk vita wakiuana kwa mabomu na bunduki hv wale wote ni washiriki wa hzo movies na kama ni washiriki je wanalipwa?
2)Zile movie za kivita Mara nyingi huwa naona wanatumia madege,mizinga na silaha kubwa Hivi vitu huwa wanavikodi serikalini au ni vyao wahusika?
3)Yale mamovie ya kutisha mfano "The wrong turn",wale watu wanaokatwakatwa kama ngo'mbe buchani hv huwa inakuaje..mpk smtms unasahau kama ni maigizo.
Anayejua mambo hayo anitoe ushamba.