Wataalamu wa mitishamba huu ni mmea gani?

Makosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
1,183
Reaction score
2,624
Nauliza jamani
IMG_20181014_103045.jpg
 
Bhange! Halafu angalia usingatwe na huyo pimbi hapo chini ya shina
 
Ni Kama Rose Marino hv, nautafuta Sana mkuu, VP unapatikana wap???
 
Unataka kufanana na ubani hivi? Nimeona mtu ameiweka kwenye viroba na inaonekana anaimwagilia kila siku.
 
Shika majani yake, Kama yananukia itakuwa rose marino hiyo!!
Nautafuta huo mmea mkuu,..
 
Yananukia mkuu na nimegoogle hilo jina nimeletea picha zinafanana na huo mmea.

Yawezekana ndio wenyewe ni dawa ya nini mkuu?
 
Hutumika Kama kiungo mkuu sababu ya harufu yake! Una kazi nyingi mojawapo ni kuimarisha kumbukumbu; VP naweza kupata japo mche Nami nioteshe??
 
Mkuu Mimi mwenyewe nimeukuta kwenye nyumba ya watu ndio maana nikaupiga picha.
 
Back
Top Bottom