Wataalamu wa mitishamba huu ni mmea gani?

Wataalamu wa mitishamba huu ni mmea gani?

Mchaichai huo una harufu kama mchaichai japo hauna sura yamchaichai ulipzoeleka
 
Ni jani la kijani toka enzi za mababu walikuwa wanaliusudu akina bob leo umelkuta shambani kwako unataka kulijarbu??
 
Unaujua mporipori?? hyo ni bangi na nikinyume na sheria huwez iulizia hapa coz polsi wako kwa area
 
Cuban sigara, [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
 
Ni Rose Mary.

Ninapoishi nimepanda.

Pia nimepanda Parsley na Sage
 
Unaitwa rose Marino...unauzwa kny masoko makubwa ya miji/mikoa...ni dawa ya kurudisha memory zilizopotea..unapikia kny chai.pia ina matumizi mengine.
 
Back
Top Bottom