Wataalamu wa mchezo wa draft tu:Je mwenye nyekundu anaweza kwepa kufungwa supa hapo?

Nimechanganya rangi, mwenye blue ndo anaikata hiyo red ya mbele kabisa, kisha blue akicheza, red anasogeza kete yake upande wa kushoto game inaishia hapo.
Yaani hapa swali ilikua mwenye blue anashinda super kama anayeanza kucheza ni mwenye red?

Kwahiyo wengi tunasema blue anashinda ila siyo super.
 
SIO SUPER NI SALE.

Mwenye nyekundu ndio zamu yake ko anachofanya anahonga hii kete ya katikati ambayo inaweza kutakatwa na hii kete ya blue. ila anahonga upande wa kulia (kete ya blue iende upande ambao hamna kete nyingine) kisha anatoka na ile kete ya nyuma kabisa

1. Hii kete ya blue iliyoenda kulia (hongo) haiwezi tena kuja kuzuia hii kete nyekundu ya nyuma. Maana ile kete nyekundu itakuja kwa mstari mmoja mpaka mwisho.
2. hii ya blue iliyobaki nyuma haiwezi kuzuia ile kete nyekundu ya nyuma, maana ikitoka hata kwa hatua moja ile kete nyekundu itakuja kupitia katikati ya hii kete za kushoto.
 
Blue nae anakata hii red ya chini kabisa, red anabaki na kete Moja ya kwanza kabisa, popote atakapocheza, blue nae anacheza upande wa kushoto, red Hana pakukimbilia tena.
Kabla ya kukata blue, red si zamu yake basi anahonga hiyo kete upande wa kulia kabla haijakatwa
 
Blue nae anakata hii red ya chini kabisa, red anabaki na kete Moja ya kwanza kabisa, popote atakapocheza, blue nae anacheza upande wa kushoto, red Hana pakukimbilia tena.
1547584199754~2.png
 
Siyo super.

Anatema kete ya mbele kwa upande wa meja ndogo.

Kisha anatoka na ile nyekundu ya kule nyuma.

Mwenye bluu akicheza kete iliyokatwa ili aende king ni atashinda bila mwenye nyekundu kuiona king.

Akileta mapepe kucheza hii ya nyuma kabisa atashinda kwa kete 3.
Hapo sawa
 
Back
Top Bottom