Wataalamu wa mambo ya madini

passion_amo1

JF-Expert Member
Dec 3, 2023
1,578
3,148
wakuu habari za uzima?

Tukiwa tunaendelea kusheherekea siku ya mama yetu mpendwa mheshimiwa samia suluhu Hassan na bata la mama. Nimeona leo nije kuuliza jambo baada ya kukutana na mtu aliyenipa mawazo kuhusu biashara hii ya madini.

Wataalamu na wajuzi wote katika sekta hii ya madini naombeni kuuliza nina hitaji kupata maarifa.

Nilipokuwa naendelea na bata la mama kuna mtu akaniambia hapa bongo wanatengeneza mashine za kupepeta mchanga wa madini na inaweza ku cost 9-10 milioni.

Nahitaji mtu aliyena uelewa ndugu zangu nikiamini JF ni sehemu yenye maarifa mengi sana.

Kuna mtu nilimuona akichangia kuhusu Hivi vitu kipindi cha nyuma

Bufa na wengine wote karibuni nipo hapa kujifunza.

Ahsante.
 
Mkuu, Kama ni karasha/crusher yapo kila kona na kila size. Kimsingi Karasha ni local BallMill.

1000079675.jpg
1000079678.jpg
 
Mkuu kama ni karasha /crusher pale Shy town yanatengenezwa mengi tu japo bei zake sifahamu
 
Unakaribia kupigwa! Kwenye madini Kuna watu waliwekeza billion 5 zote "zikachumila".

Biashara ya madini na uchimbaji imetawaliwa na ushirikina, kutapeluwa na hata kupotezwa ukizingua au ukibania.

Bora fungua hardware
 
Akili za mitanganyika hizi, endeleeni kulima makabichi 😂 😂
 
hivi ukiwa na vitu gani kwenye uchimbaji madini unakuwa na uhakika wa kupata mafanikio?

Kuna biashara yenye uhakika wa mafanikio 100%? Kama ipo bora ufanye hiyo.

Uchimbaji ni kama biashara zingine zote basics ni zile zile hakuna kitu kipya. Uwe na eneo lenye deposits ya hayo madini, vibali, vifaa, utaalam na mtaji. No more, no less.
 
Kila nkijaribu kusoma naona upuuzi upuuzi hv hamna namna ukauliza lengo lako bila ku-attach na ulichokiattach
 
Mkuu unataka kufahamu kuhusu nn? Bei ya crusher au unataka kujua kama crusher mashines zinatengenezwa hapa hapa bongo?

Nyooka vizuri tukusaidie.
 
Unakaribia kupigwa! Kwenye madini Kuna watu waliwekeza billion 5 zote "zikachumila".

Biashara ya madini na uchimbaji imetawaliwa na ushirikina, kutapeluwa na hata kupotezwa ukizingua au ukibania.

Bora fungua hardware

Acha kumtisha sana hata kwenye hardware hayo yanaweza tokea pia,chamsingi asiingie kichwakichwa ajifunze michezo yote michafu.

Madini yanautajiri sana penye utajiri hayo uliyoyataja hayawezi kosa v
 
Back
Top Bottom