Wataalamu wa mahusiano imekaaje hii?

Nishawaambia vijana usiokote wanawake bila kuwamulika Kwa mganga wengne ni mapilot wa ungo fighter jet, Cha muhmu omba hcho kitu awe haja injia yeye mwenye kaenda Kwa mtaalamu( mganga) lkn kama shoo nzima yeye ndo kafanya umeisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…