Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,402
- 54,846
Ahahaha mpaka anyooshe maelezo😂😂😂Mr ebu usifanye tuone jina linasadifu yaliyomo, huo muunganiko uliofanya kopa na copper Mungu anakuona
Ahahaha mpaka anyooshe maelezo😂😂😂Mr ebu usifanye tuone jina linasadifu yaliyomo, huo muunganiko uliofanya kopa na copper Mungu anakuona
Habarini wadau. Kwa mwenye ujuzi na madini haswa laboratory results. Matokea mazuri kwa upande wa copper huwani kuanzia % ngapi . Namaanisha results ambayo inaonyesha copper ina kiwango
Shukran. Je? 3.25 ni grade bora zaidi ama??
- High-grade ore (ubora wa juu): kuanzia 1.5%–2% copper na kuendelea
- Medium-grade ore: takriban 0.5%–1.5%
- Low-grade ore: chini ya 0.5%, lakini inaweza kuchimbwa kama teknolojia na bei ya soko ni nzuri
NaMkuu wewe unakopesha madini kwani..?
Post imeeleza kila kituShukran. Je? 3.25 ni grade bora zaidi ama??
Unafanya biashara ya madiniHapana
Na
Shukran mkuu.Post imeeleza kila kitu
Bei- ~USD 8,000 – 9,500 kwa tani moja (1 metric ton ya copper safi - 99.99%)Shukran mkuu.
Na je? copper bei yake kawaida kwa ton huwa ni ngapi kkiongozi. Mfano yenye 3.25
Ndo nishaelezea kwenye post juu kule
Shukran kakaKikawaida, kiwango kizuri kinachoanza kuvutia wanunuzi wengi wa ndani na nje ya nchi ni kuanzia asilimia 2% na kuendelea. Hii ina maana kwamba kama sampuli yako ya mchanga ina asilimia 2% au zaidi ya copper, uko kwenye nafasi nzuri ya kupata wanunuzi na kufanya biashara yenye faida.
Grade ya 5% au zaidi inachukuliwa kama ya juu, na huwa inauzika kwa haraka na kwa bei nzuri.
Kwa upande wa bei, sokoni Tanzania, madini ya copper yanayouzwa kama ore (mchanga au mawe yenye copper) yanauzwa kwa bei inayotofautiana kulingana na kiwango cha copper kilichopo. Kwa sasa, bei ya tani moja ya copper ore yenye kiwango cha 2% hadi 2.5% inaweza kuwa kati ya dola za Kimarekani 60 hadi 70 kwa tani moja, lakini kwa ore yenye kiwango kikubwa zaidi (high-grade, kama 5% hadi 8% au zaidi), bei inaweza kufika hata dola 140 au zaidi kwa tani moja.
Hata hivyo, kama utauza copper iliyosafishwa (refined copper au copper cathode), ambayo ni safi na imechakatwa viwandani, bei yake ni kubwa zaidi na inaweza kufika dola 8,700 hadi 9,100 za Kimarekani kwa tani moja, kulingana na bei ya soko la dunia.
Ni muhimu kutambua kuwa bei hizi hubadilika kulingana na hali ya soko, ubora wa mzigo, na mahali ulipo.
Wanunuzi wengi Tanzania wanapendelea ore yenye kiwango cha copper kisichopungua 2% kutokana na gharama za uchakataji na usafirishaji. Kiwango chochote chini ya hapo kinaweza kutopata soko la haraka au kikauzwa kwa bei ndogo sana.
3.25,hapo siyo suala la grade,hapo ni suala la content in percentages!,unayo kiasi gani in tons?Shukran. Je? 3.25 ni grade bora zaidi ama??
Ila we jamaa unaweza sababisha Mtu ajiue unajua anashida gani na anahali gani kwa sasaMkuu wewe unakopesha madini kwani..?
😂😂😂🫵🫵🫵🫵 HuyooooIla we jamaa unaweza sababisha Mtu ajiue unajua anashida gani na anahali gani kwa sasa
nikweli hata mimi nimecheka ila ukweli lazima usemwe.