Mkuu asante sana kwa elim yako ila sitak moja nataka nitengeneze betri nyingi kwa ajili ya masoko ndo maaana nkaomba mbinu za ziadakama hiyo taa ni 5W, 12V
tafuta zile mini UPS za airtel router, zina BMS kwa ndani
zinaingiza 12V zinatoa 12V
upande wa kutoka weka buck converter kushusha 12V kwenda 5V kuchaji simu
huwa zinakaa masaa 5 (kutegemea na joto) iki deliver 12W
chukua 3S BMS , ziko off-shelf kibao kama hiiMkuu asante sana kwa elim yako ila sitak moja nataka nitengeneze betri nyingi kwa ajili ya masoko ndo maaana nkaomba mbinu za ziada
Asante sana mkuu naomba unisaidie namba yako mkuu kuna mengi ntaomb unishaurichukua 3S BMS , ziko off-shelf kibao kama hii
tafuta cells zako tatu za 5000mAh 3.7V, 18650 (Li-ion au LiPo)
utahitaji wall wart charger ya 12V 2A+ au uunge PV panel moja kwa moja
kuchaji , utahitaji buck converter(off-the-shelf) kama hii zinatoa 5V 3A unapachika kama ni USB-C/micro port uchaji simu
Kwaiyo hizo betri naunga kwa series au parallel na je Naweza pata wapi maduka wanapouza hizo lithium nataka hata za 8000mah zikiwepochukua 3S BMS , ziko off-shelf kibao kama hii
tafuta cells zako tatu za 5000mAh 3.7V, 18650 (Li-ion au LiPo)
utahitaji wall wart charger ya 12V 2A+ au uunge PV panel moja kwa moja
kuchaji , utahitaji buck converter(off-the-shelf) kama hii zinatoa 5V 3A unapachika kama ni USB-C/micro port uchaji simu
unaziunga in series, link niliyoweka ina maelekezo na sakitiKwaiyo hizo betri naunga kwa series au parallel na je Naweza pata wapi maduka wanapouza hizo lithium nataka hata za 8000mah zikiwepo
Hakuna 18650 yenye 5000mahchukua 3S BMS , ziko off-shelf kibao kama hii
tafuta cells zako tatu za 5000mAh 3.7V, 18650 (Li-ion au LiPo)
utahitaji wall wart charger ya 12V 2A+ au uunge PV panel moja kwa moja
kuchaji , utahitaji buck converter(off-the-shelf) kama hii zinatoa 5V 3A unapachika kama ni USB-C/micro port uchaji simu
Kwaiyo hizo betri naunga kwa series au parallel na je Naweza pata wapi maduka wanapouza hizo lithium nataka hata za 8000mah zikiwepo