Duuh ngoja nami wataalam wanisaidie kuchakachua modem yangu ya voda,nitumie mitandao yote nami nile raha,sio kila cku watuibie wao tu
Jamani e,wataalamu wa kuchakachua free internet mpoo??...jamani nina laini yangu ya airtel sijawahi kuifanya chochote ila cha kushangaza toka mwezi wa kwanza internet yake ni bureee kabisa na sijawahi kujiunga na bundle kwani nikiunganisha inakataa....mwenye mautundu awasiliane na mimi nimpe laini yangu aifanye testing kisha akigundua chochote aje akipost hapa ili wote tuchakachue tutumie bure.Nimeona sio vizuri kula peke yangu
sio boom club kwasababu leo nimedownload file la assasin creed 4.6 gb bureee
Ngoja nami nishiriki mjadala huu umenivutia . Umetumia dakika ngapi kudownload hilo file la 4.GB ?sio boom club kwasababu leo nimedownload file la assasin creed 4.6 gb bureee
Duuh ngoja nami wataalam wanisaidie kuchakachua modem yangu ya voda,nitumie mitandao yote nami nile raha,sio kila cku watuibie wao tu
Jamani tujifunze utaratibu wa kulipa, kama wanatumia pesa zao kukupa wewe service sasa kwa nn wataka chakachua???