naomba unieleweshe mkuu niwe natumia USB port 3.0USB 2.0 =480 megabits per second
USB 3.0= 5 gigabits per second
kifupi ni tofauti ya speed tu USB 3.0 iko faster kulinganisha na 2.0....lakini hili halizuii device zenye 2.0 USB kufanya kazi kwenye 3.0 USB port...ukitaka kuweka window mpya kuna maelekezo kidogo kama utatumia USB pendrive naona wengi wanapata tabu apa
Hatujaelewana..model ya hiyo acer ni ipi? port yyte utayoitumia itafanya kazi fresh kama umeweka drivers...nenda kwenye page ya manufacturer wako install usb 3.0 drivers na utaweza kutumia ports zote kama kawaidanaomba unieleweshe mkuu niwe natumia USB port 3.0
pia angalia hata kwa macho tu..port yenye rangi ya blue ndio USB 3.0 yenye rangi nyeusi ni 2.0Hatujaelewana..model ya hiyo acer ni ipi? port yyte utayoitumia itafanya kazi fresh kama umeweka drivers...nenda kwenye page ya manufacturer wako install usb 3.0 drivers na utaweza kutumia ports zote kama kawaida
naomba unieleweshe mkuu niwe natumia USB port 3.0
Chengine usb 3 inatoa amps zaidi
Usb 2 ni 0.45A
Usb 3 ni 0.9A
Hivyo kama unachaji simu ama kuchomeka external ama kitu chochote kinachochukua umeme toka kwenye laptop kitafanya kazi vizuri zaidi kwenye usb 3
Nimekuona uko online sorry hebu nipe link ya ule uzi wako uliozungumzia habari ya memory cards ni wa nyuma kidogo nautafuta siupati
Sijui ndio hiki