Wataalamu wa IT upande wa Software hardware naombeni msaada

Quan Lup

JF-Expert Member
Sep 26, 2016
640
751
Habari za mchana wadau

Juzi hapa nilileta habari kuna jamaa kaniuzia laptop accer sasa hii laptop nimekuja kugundua USB port zake supported ni 3.0.
naombeni msaada wa tofauti kati ya 2.0 na 3.0 chief mkwawa na wengine asanteni.
 
USB 2.0 =480 megabits per second
USB 3.0= 5 gigabits per second
kifupi ni tofauti ya speed tu USB 3.0 iko faster kulinganisha na 2.0....lakini hili halizuii device zenye 2.0 USB kufanya kazi kwenye 3.0 USB port...ukitaka kuweka window mpya kuna maelekezo kidogo kama utatumia USB pendrive naona wengi wanapata tabu apa
 
naomba unieleweshe mkuu niwe natumia USB port 3.0
 
Hatujaelewana..model ya hiyo acer ni ipi? port yyte utayoitumia itafanya kazi fresh kama umeweka drivers...nenda kwenye page ya manufacturer wako install usb 3.0 drivers na utaweza kutumia ports zote kama kawaida
 
pia angalia hata kwa macho tu..port yenye rangi ya blue ndio USB 3.0 yenye rangi nyeusi ni 2.0
 
Chengine usb 3 inatoa amps zaidi
Usb 2 ni 0.45A
Usb 3 ni 0.9A

Hivyo kama unachaji simu ama kuchomeka external ama kitu chochote kinachochukua umeme toka kwenye laptop kitafanya kazi vizuri zaidi kwenye usb 3
 
Nimekuona uko online sorry hebu nipe link ya ule uzi wako uliozungumzia habari ya memory cards ni wa nyuma kidogo nautafuta siupati

Back
Top Bottom