wicalumtata
JF-Expert Member
- Oct 29, 2013
- 329
- 113
wanajamvi, leo nilikuwa narekebisha sub woofer ya mchina, yenyewe ni 5.1CH. sasa ic zake za bass zikawa zimeharibika na nlipobadili mpya inawaka fresh lakin ukiweka saut kubwa inakwaruza spika ya bass ,