Wataalamu wa historia ya tanganyika

storyteller

JF-Expert Member
Nov 5, 2014
1,511
1,832
Habari

Ninahitaji wataalamu wa historia ya tanganyika watakaonisaidia kuelezea mambo mbali mbali(makabila/ machifu/ tanganyika kiujumla n.k) katika makala nayoiandaa hivi karibuni.

Tafadhali naomba msaada wenu ili tuendelee kuitunza historia ya tanganyika na africa kiujumla.
 
Back
Top Bottom