Wataalamu wa Hisabati msaada wenu unahitajika.

Wataalamu wa Hisabati msaada wenu unahitajika.

Mkuu umeambiwa Average, sio Sum.
Haya anza upya
Duh inabidi nianzishe tuition ya kufanya hesabu ndogo kama hizi kwa shortcut,
Average = sum of items/number of items
sum of items = Average * number of items
Aya angalia tena
 
Hii njia sio sahihi hata kama jib litakuwa sahihi
Kwa maoni yangu
Hii njia Ni Kama ya hapo juu ambayo umeikubali.Tofauti Ni kuwa mmoja katumia maneno mwingine kaweka equation kwa kutumia herufi a b c
 
Huu Uzi sio saizi yangu kabisaaa naona kingereza na namba ambazo sijui maana yake nn nimejitaidi kupitia comment sijaambua kitu nimebaki sielewi ongereni mliosoma
 
Back
Top Bottom