Wataalamu wa hesabu nipeni jibu

Wataalamu wa hesabu nipeni jibu

Mbona na wewe umebadilisha ulikuwa umeandika 28?
Haha mkuu mwanzon nlipigia mahesabu kichwan.
Scenario kichwan ilikuwa hivi.
Kama mbwa + paka =24
then mbwa=24-paka

Sasa nikaja ule mchoro wa mbwa na panya
mbwa + panya = 20:
So nikasubstitute badala ya mbwa nikaweka 24-paka

So ikaja hivi
24-paka+panya = 20
Nikazipanga ikawa
paka-panya = 24-20= 4

Sasa hapa ndo kichwa kilipofail
Nikawa ninajua sasa akilini kuwa
a)Paka-panya=4
b)paka+panya=10

Sasa ubongo ukakimbilia kufikiria hapo paka ni 6 na panya ni 4 (itakuwa kwasababu ya uwepo wa hiyo 4 kwenye (a)ndo ilinichanganya) wala sikuwaza kuhusu 7 na 3 na ndo hapo nilipofail..
wakati 6-4 haileti 4

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha mkuu mwanzon nlipigia mahesabu kichwan.
Scenario kichwan ilikuwa hivi.
Kama mbwa + paka =24
then mbwa=24-paka

Sasa nikaja ule mchoro wa mbwa na panya
mbwa + panya = 20:
So nikasubstitute badala ya mbwa nikaweka 24-paka

So ikaja hivi
24-paka+panya = 20
Nikazipanga ikawa
paka-panya = 24-20= 4

Sasa hapa ndo kichwa kilipofail
Nikawa ninajua sasa akilini kuwa
a)Paka-panya=4
b)paka+panya=10

Sasa ubongo ukakimbilia kufikiria hapo paka ni 6 na panya ni 4 (itakuwa kwasababu ya uwepo wa hiyo 4 kwenye (a)ndo ilinichanganya) wala sikuwaza kuhusu 7 na 3 na ndo hapo nilipofail..
wakati 6-4 haileti 4

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi the way ulivyopiga mahesabu kichwani basi hata mimi ilikuwa hivyo hivyo, nilipoona haiko sawa ndio nikapiga tena na kupata jibu 27....ile 28 niliandika bila kukusudia.
 
Soln:
Let a = mouse, b = cat and c = dog.

a + b = 10 ---(i)

a + c = 20 ---(ii)

b + c = 24 ---(iii)

From eqn (i) make a the subject.

a = 10 - b ---(iv)

Substitute eqn (iv) into equation (ii).

10 - b + c = 20.

Make b the subject:

b = c - 10 ---(v).

Then, substitute eqn (v) into eqn (iii):

c - 10 + c = 24.

2c = 34,

c = 17.

Eqn (v): b = c - 10, b = 17 - 10 = 7.

Eqn (iv): a = 10 - b, a = 10 - 7 = 3.

Therefore: a + b + c = 17 + 7 + 3 = 27.

The answer is 30.
Vikorokocho vingi kwenye answers umeboronga
 
Kwa SUP nilizopata 1st degree ya BAED plus F ya mathematics O level,naomba niseme, nitakua naonewa kuingilia mahesabu.
 
Back
Top Bottom