Jamani naomba kufahamu, nina account mbili za Adsense na zote nimesajili kwa majina yanayo fanana, pia account moja nilishapokea barua na nika-verify account, sasa na hii account ya pili nimetumia address hiyo hiyo niliyotumia mwanzoni je kuna tatizo hapo?, na je nitaweza kuwa nachukua hela western union kwa kutumia kitambulisho kimoja kwa account zote mbili? naombeni mwongozo wenu ndugu zangu.... natanguliza shukrani