pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 11,642
- 14,802
- Thread starter
- #21
Hapana mkuu ni zanzibar nachukulia zanzibarNadhani unatofautisha bei za laptop kkoo na za kuagiza
Kwa hiyo Kwa bei za kkoo Bado bei nzuri
Ila kama ataamuua kuagiza mwenyewe atapata nzuri zaidi ya hiyo
Labda tumuulize ananunua KKOO ama amemuagiza mtu nje
Au ananunua Kwa mtu hapahaoa kama SECOND HAND kutoka Kwa ndugu jamaa na marafiki