nimefungua internet cafe sasa nahitaji kulimit kudownload files not more than 3mb nafanyaje msaada wajuz.
Install ISA server software kwenye server yako utapata option ya downloading speed and limits to clients computer.Nimefungua internet cafe sasa nahitaji kulimit kudownload files not more than 3mb nafanyaje msaada wajuz.
lakini vipi kuhusu web ambazo ukifungua tu zina maliza mb 4 kama ya michuzi? hata facebuku kuangalia picha tatu tu za high resolution ni mb kama 5 hapo inakuwaje?!!
lakini vipi kuhusu web ambazo ukifungua tu zina maliza mb 4 kama ya michuzi? hata facebuku kuangalia picha tatu tu za high resolution ni mb kama 5 hapo inakuwaje?!!
.........................................
Itakuwa ni rahisi zaidi kulimit kwa session, so kwa saa moja mteja anaruhusiwa kudownload 300Mb e.g.
Practically Hata kwa session kuna ugumu vile vile. Vipi umeme ukikatika kompyuta zikazima.( Obvious problem in bongo yetu). Ssession inabidi zianze upya. Au sio.?
Nachofikiria Je hakuna baadhi ya baadhi ya router unaweza kuset upload/dowload capacity ya network na sio kwa device moja moja. Kwa eice moja moja nadhani ni kazi kuwba sana.
Session inaweza ikawa inarecord totals jinsi zinavyoenda so ukirestart inaendelea pale pale, au anaweza kurestart to umeme ukikatika sidhani kama ni tatizo kubwa.
Ukilimit capacity ya network haitakusaidia, mteja mmoja naweza akaua limit yote.