wataalamu wa blog! Msaada plz . . . ! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wataalamu wa blog! Msaada plz . . . !

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Hkeen, Jan 31, 2012.

 1. H

  Hkeen Member

  #1
  Jan 31, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Heshima kwenu wanaJF, nahitaji msaada wenu wakiteknohama juu ya kudesign blog ya kitaalamu na ya kijamii na ushauri wa mtandao uliobora zaidi kutumia. Naomben msaada wakuu!
   
 2. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Go for Wordpress
   
 3. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #3
  Jan 31, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  tumia blogspot.com
   
 4. networker

  networker JF-Expert Member

  #4
  Jan 31, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
 5. Codezilla

  Codezilla Member

  #5
  Jan 31, 2012
  Joined: Sep 11, 2011
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Contract me i develop for you a nice and professional blog....tailor made/customized to you specifications :nerd:
   
 6. H

  Hkeen Member

  #6
  Feb 2, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ok! Nimeonaipo safi tu.
   
 7. H

  Hkeen Member

  #7
  Feb 2, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hebu hii; www.wasafi9.wordpress.com
   
 8. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #8
  Feb 3, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Una option mbili kutumia wordpress au blogger(blogsot)

  binasfi kama alivyoushauri Gurta naushauri tumiia wordpre. Worpress s sio domain tu kwamba lazima blog yko yako itumie domain na domain ya XXXXXXX.wordpressress .com. Huo ni uamuzi wako.

  Wordpress ni CMS yaani ni sofware na platform kamili ya kutengeza blog au tovuti kamili ndogoi. Blog marufu ya teknolojia kama technocruch.com wanatumia Platform ya wordpress.. Na blogger wengi wanatumia platform ya wordpress

  Na mtazamaji katika ka-gym kake a teknohama bongo katumia platform ya wordpress. Na hiyo domain ya .x10.mx ni ya bure. Unaweza kuona inaokena kam tovuti lakini ni blog-tovuti. Uzuiri wa wordpress una uweza kubadilisha mambo mengi kama una ujuzi au unapenda kujifunza....

  kwa hiyo unaweza kudowload na kusitall wordpress kwenye webs server yeyote( inyosupport php) iwe ya kulipia au ya bure.

  Kwa hiyo tumia wordpress la sivyo tumia blogspot.com ya google. Yoyote ile utayoamua kutumia tumia muda kutafuta template/ theme nzuri inayoendana na maudhui ya blog yako
   
 9. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #9
  Feb 4, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,945
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  kama wewe ni beginner, tumia blogger, kama umeadvance unaweza kutumia wordpress, bevolution, drupal na zingne popular! kama utahost mwenyewe ndo inakuwa bomba zaidi. Mimi nimekuwa nikitumia wordpress for years, theme zake bomba easy to customize, pia ina millions of plugins,
   
 10. Kilongwe

  Kilongwe JF-Expert Member

  #10
  Feb 4, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 424
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Kwenye design yoyote kitu kikubwa cha kuangalia ni KESHO (aka Scalability), hivyo kila chaguo lazima liangalie hayo mambo kwa undani wake.
  Binafsi sikuwahi kutumia Blogger na ni mara chache kama sio zote kumshauri mtu kutumia blogspot, sio tu kwakuwa hauna full control na data zako pia sio scalable, kivipi, endapo kesho tovuti(blog) imekuwa na unataka kuhamia stage nyingine unakuwa umekwama. Inawezekana ila kwa msuli sana(kwa waliowahi jaribu watalidhihirisha hilo).

  Tukirudi kwenye WordPress au Joomla, hapa inategemea na uzoefu wako, Wordpress ni rahisi kusetup na kuitumia ila bado haijakomaa kwa sana, WordPress ilikuwa ni kwa ajili ya blogs na si siku chache wameingia kwenye ulimwengu wa site nzima, so huwezi kuifanananisha na joomla. Ila kama nilivyoelezea hapo juu nii rahisi mno kusetup na kuitumia.

  Joomla kama jina lake linavyoonesha(Jumla) ni jumla ya kila kitu, kwa kutumia Joomla, kikomo ni mawazo yako, wapo wengi wamejidedicate humo, pia joomla wapo very organized hivyo hakuna kinachoshindikanika ndani ya Joomla. Binafsi nilikuwa mpenzi No 1 wa WordPress ila nilipohamia Joomla nikaona nini nilikuwa namiss ndani ya Wordpress. Unaweza kuona kazi ambazo tumefanya kwa kutumia joomla Portfolio - Website Portfolio .

  Nikamilishe kwa hitimisho. Kama wewe ni mtu unayependa kuexplore zaidi basi nenda joomla, kama una haraka na mtu anayehusika na mambo haya hana muda mwingi nenda wordpress, pia kama unataka tovuti just kama tovuti na hujali nini kuhusu kesho pia hauna mtu wa kuihudumia na mkwanja wa kutosha basi nenda Blogspot
   
 11. F

  Fahari MJ JF-Expert Member

  #11
  Feb 4, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 425
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  This is technical forum. He is not asking about WHO he is asking on HOW and WHAT.

  Share a litttle of your technical expertiise here . Other wise kuna jukwaa la matangazo madogo madogo. Usisubiri thread za watu kujipa promo.
  .
   
 12. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #12
  Feb 4, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,945
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  mimi nadhani joomla sio nzuri kwa blog, its much better for cms websites, i recommend wordpress, bevolution au drupal.
   
Loading...