haya lete shule!Pole sana!
Flow ikoje, ni heavy au ni kidogo?
haya lete shule!
Pole sana!
Flow ikoje, ni heavy au ni kidogo?
nashkuru kwa ushauriduuuh pole sana shost,kwanza yeye atataka ikiwa hivo?
kikwetu sisi ni nuksi kumpa mtu kitu cha red card..
ila nenda kwa maombi ilo ni pepo linataka kuvunja ndoa yako dada
chukua hatua,mungu ni mwaminifu atakusaidia
Nina uhakika haujaonana na daktari wa wanawake. Ushauri wa mitaani hautakusaidia sana. Nenda kaonane na gynae, utafanyiwa vipimo vya damu na kusaidiwa. Kuna dawa ukipewa inafanya kazi kama muujiza, ndani ya siku mbili damu inaisha. Lakini ni prescription drug, ni lazma uonwe na kuandikiwa.
Pole sana, msisahau kuomba Mungi ana nafasi yake.
flow ni ndogo mno, some times hamna kabisa but haimalizi siku bila kutoka
dah hiyo itakuwa endocrine disorder nenda kwa gyna ukapate ufumbuzi its abnormal kwa mwanamke wa kawaida ,ujue kila mwezi kwa wanawake kuna hormones 2 zinakuwa released na hypothalamus gland ambazo ni progesterone na oestrogen kwa ajili kuandaa endometrium walls kwa ajili ya kupokea yai endapo tatokea fertilization(uchavushaji wa yai ovum) asa endapo fertilization haitatokea hizo endometrium walls ndo zina disntergrate na kutoka kama hedhi asa haiwezekani kwa miezi miwili mfululizo upate hedhi mfululizo lazima ni hormone disorder
Je uliwahi kutumia ama unatumia dawa za uzazi wa mpango???? Dr. hippocratessocrates plz kuja pande hizi!!!!
pole sana jamani hata hujamfaidi muzee bwanacjawahi kutumia dawa izo because sina mda mrefu toka kuolewa na sijapata mtoto bado
nani kakwambia utumie depo!!!!! ukatae ukubali hiyo ndio imesababisha madhara hayo apart from hapo nenda kwenye maombi lakini hiyo ni sindano ya uzazi wa mpango tu