Wataalamu naomba ushauri kuhusu samsung note 3

Wataalamu naomba ushauri kuhusu samsung note 3

Kaputupu

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
1,486
Reaction score
1,179
Nilishatumia samsung S4 miezi kadhaa iliyopita, right now natumia samsung galaxy E7, But i just want to test ladha ya hizi samsung note.. Nataka kuagiza note 3 soon.. Wataalamu naomba mniambie/mnishauri..
Je ntakuwa nimepoteza uelekeo au..?
Sina experience sana na hizi note..

" Sorry for this thread kama kuna waty ntawakwaza.. " kcamp Chief-Mkwawa
 
Note 3 ni nzuri kuliko zote hizo mbili, utakuwa ume upgrade vya kutosha
 
Mkuu,kama alivyosema Chief-Mkwawa,Samsung Note 3 ni nzuri zaidi kama wasemavyo vijana wa mjini "tamu" zaidi.
 
Mkuu,kama alivyosema Chief-Mkwawa,Samsung Note 3 ni nzuri zaidi kama wasemavyo vijana wa mjini "tamu" zaidi.

Mkuu nataka agiza brand new... Lakini nimeangalia GSm arena nimegundua kuwa zipo zingine zina 4G na zingine hazina....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom