Mbona hizo kazi zako sisi wengine hatuzijui? ziweke humo angalau mbili au unaongea na baadhi tu ya watu?
I had an extra duty to google #JosephShaluwa sijawahi kumsikia
Mbona hizo kazi zako sisi wengine hatuzijui? ziweke humo angalau mbili au unaongea na baadhi tu ya watu?
Mwandishi wa nakala hana uwakilishaji mzuri anaweza akawa ana hoja ila communication skills 0% kabisa.
Atuwekee hatimiliki hapa siyo kutupigia pigia kelele.
humu si magazeti ya rangirangi ya 300
I had an extra duty to google #JosephShaluwa sijawahi kumsikia
afu hii tabia ya watu kujiita wataalamu wa mapenzi wakati toka wanazaliwa wameshawahi kuwa na mpenzi mmoja au unakuta mwingine hajawahi kuwa na mpenzi afu anatoa ushauri wa mapenzi..wewe mtu hujaoa unatoa ushauri kwa wanandoa...kuna mambo yakushauri bila kuwa na uzoefu ila mapenzi SIYO,zaidi unakuta mtu anasoma vijarida vya mapenzi mkikutana analeta kurukaruka dakika moja hoi au analeta mapenzi ya kwenye magazeti bila kujua kila mtu ana misingi na miiko yake..andikeni makala za tembo kuuawa na maliasili kupotea hapo hata uzoefu wa vitendo hautakiwi.Yani mtu mwenyewe junior member unawapiga mkwara masenior. Sikiliza wakati wewe unahangaika na marangirangi ya 300 hujapata akili ya kuzirusha humu wenzako walikuwa wanakusaidia kuziweka humu siye wa Damascuss tupate kuzisoma. Ila wewe ulitakiwa uonyeshe appreciation kwa wao kuzitangaza kazi zako. si kama ulivyochukulia.
afu hii tabia ya watu kujiita wataalamu wa mapenzi wakati toka wanazaliwa wameshawahi kuwa na mpenzi mmoja au unakuta mwingine hajawahi kuwa na mpenzi afu anatoa ushauri wa mapenzi..wewe mtu hujaoa unatoa ushauri kwa wanandoa...kuna mambo yakushauri bila kuwa na uzoefu ila mapenzi SIYO,zaidi unakuta mtu anasoma vijarida vya mapenzi mkikutana analeta kurukaruka dakika moja hoi au analeta mapenzi ya kwenye magazeti bila kujua kila mtu ana misingi na miiko yake..andikeni makala za tembo kuuawa na maliasili kupotea hapo hata uzoefu wa vitendo hautakiwi.
KUNA watu humu ndani wanachukua kazi za watu wengine na kujifanya wameandika wao. Nimeona wengi wanachukua makala zangu za magazetini kwenye mitandao na kuziweka humu wakijifanya wameandika wao! Siyo sawa. Buni chako. Nawapongeza wanaochukua kazi zangu na kuandika jina langu kuwa ndiye mwandishi, lakini wapo wasio wastaarabu waaochukua na kuweka byline zao kama ndiyo waandishi.
Siyo sahihi. Mimi huwa natafiti mwenyewe kisha naandika. Sijawahi kuchukua makala kwenye mitandao wala kutafsiri kutoka mitandao ya nje. Hizi kazi zina hakimiliki jamani!!!!!
Nimesema natafiti... lakini hata ukijua itakusaidia nini?