JOSEPH SHALUWA
Member
- Feb 9, 2014
- 20
- 6
KUNA watu humu ndani wanachukua kazi za watu wengine na kujifanya wameandika wao. Nimeona wengi wanachukua makala zangu za magazetini kwenye mitandao na kuziweka humu wakijifanya wameandika wao! Siyo sawa. Buni chako. Nawapongeza wanaochukua kazi zangu na kuandika jina langu kuwa ndiye mwandishi, lakini wapo wasio wastaarabu waaochukua na kuweka byline zao kama ndiyo waandishi.
Siyo sahihi. Mimi huwa natafiti mwenyewe kisha naandika. Sijawahi kuchukua makala kwenye mitandao wala kutafsiri kutoka mitandao ya nje. Hizi kazi zina hakimiliki jamani!!!!!
Siyo sahihi. Mimi huwa natafiti mwenyewe kisha naandika. Sijawahi kuchukua makala kwenye mitandao wala kutafsiri kutoka mitandao ya nje. Hizi kazi zina hakimiliki jamani!!!!!