Meneja Wa Makampuni JF-Expert Member Jul 7, 2020 6,338 8,266 Aug 8, 2020 #21 ZIRO said: Tuwataarif tu vijana wameshauriwa wajiajiri... na hao hao waliotupa elimu za kuajiriwa Click to expand... Sasa watu kama hao wanajiajiri vipi
ZIRO said: Tuwataarif tu vijana wameshauriwa wajiajiri... na hao hao waliotupa elimu za kuajiriwa Click to expand... Sasa watu kama hao wanajiajiri vipi
Abuu Abdurahman JF-Expert Member May 9, 2017 1,447 1,770 Aug 8, 2020 #22 Meneja Wa Makampuni said: Sasa mtupe mrejesho tangu mmemalza kuna aliye tusua hata mmoja Click to expand... Yupo Ontario(Sirjeff) amesha tusua, alisoma kada hiyo lakini amejiwezesha mwenyewe tuu na hajaitumia hiyo elimu hata chembeee.. Kwa upande wa pili wenzake alosoma nao bado wanaganga njaaa (kwa mujibu wa maneno yake ) HITIMISHO: Wahitimu wetu hawa wanapumulia gesi kwasasa
Meneja Wa Makampuni said: Sasa mtupe mrejesho tangu mmemalza kuna aliye tusua hata mmoja Click to expand... Yupo Ontario(Sirjeff) amesha tusua, alisoma kada hiyo lakini amejiwezesha mwenyewe tuu na hajaitumia hiyo elimu hata chembeee.. Kwa upande wa pili wenzake alosoma nao bado wanaganga njaaa (kwa mujibu wa maneno yake ) HITIMISHO: Wahitimu wetu hawa wanapumulia gesi kwasasa
Prince Kunta JF-Expert Member Mar 27, 2014 22,785 28,806 Aug 8, 2020 #23 Meneja Wa Makampuni said: Sasa watu kama hao wanajiajiri vipi Click to expand... Waka jiajrikuuza mitungi ya gesi kama taifa gas, o gas na lake gas au wakalime mapori yapo mengi mno
Meneja Wa Makampuni said: Sasa watu kama hao wanajiajiri vipi Click to expand... Waka jiajrikuuza mitungi ya gesi kama taifa gas, o gas na lake gas au wakalime mapori yapo mengi mno
Kennedy JF-Expert Member Dec 28, 2011 49,172 54,528 Aug 9, 2020 #24 Meneja Wa Makampuni said: Sasa mtupe mrejesho tangu mmemalza kuna aliye tusua hata mmoja Click to expand... Ccm Hoyee Imeshawapa Ajira Mufa Mrefu Sana Kwasasa Hivi Wanakula Mema Ya Nchi
Meneja Wa Makampuni said: Sasa mtupe mrejesho tangu mmemalza kuna aliye tusua hata mmoja Click to expand... Ccm Hoyee Imeshawapa Ajira Mufa Mrefu Sana Kwasasa Hivi Wanakula Mema Ya Nchi