Wataalamu 22 wa kwanza wa kemia ya mafuta na gesi asilia kuhitimu 2016 UDSM

Sasa mtupe mrejesho tangu mmemalza kuna aliye tusua hata mmoja
Yupo Ontario(Sirjeff) amesha tusua, alisoma kada hiyo lakini amejiwezesha mwenyewe tuu na hajaitumia hiyo elimu hata chembeee..

Kwa upande wa pili wenzake alosoma nao bado wanaganga njaaa (kwa mujibu wa maneno yake )


HITIMISHO: Wahitimu wetu hawa wanapumulia gesi kwasasa
 
Back
Top Bottom