Wataalam wa umeme hii haiwezekan

Wataalam wa umeme hii haiwezekan

Electric Circuit Theory :

Q1.what happens when you provide a parallel and discrete live wire across meter? 5 marks.

Be specific, what kind of meter? A three phase or a Single phase electromagnetic meter?
 
Be specific, what kind of meter? A three phase or a Single phase electromagnetic meter?

For households, Single phase supply is more common , hence assume single phase meter of whatever design.
 
1+1=2 na haiwez 11 ndo formula ilivo unapotaka kuforce iwe 11 ni kucreate fault isiyokua ya lazima same applize 2 u'r innovation live+neutral=normal current flow... Please though madhara yake co makubwa lakn ikiwa constantly utalia.. Pls dude don't DO DAT
 
ok kama inawezekana inaweza kupiga kazi fresh mpaka kiwango gan??

Mim niliwah jaribu hiyo kitu lkn ilikuwa inajizima kwenye circuit breaker. Je hapo tatizo ni nin??
Na unaweza ukawasha tv,fen,taa na redio kwa kutumia style hiyo ya earth wire??

Mkuu hiyo kitu sijui kama itakubali mim kwangu ishanigomea.

Circuit breaker za kisasa zinajizima kukiwa na tofauti kati ya live na neutral hii ni kumlinda binadamu, kukiwa na tofauti maana yake umeme unapitia sehemu nyingine na kwa kawaida hii inamaana kuwa kuna mtu anapigwa shoti (umeme unapita mwilini badala ya flow ya kawaida) hivyo circuit breaker inajizima, ndo maana ni almost impossible kuuliwa na umeme wa ndani kama nyumba ina circuit breaker ya kisasa.

hauwezi kuiba umeme kwa staili hii, LUKU una design ambayo imazingatia hizi njia za kitoto.
 
Wakuu kuna nyumba 1 hapa dar tanesco walikata umeme kabisa wao wenye nyumba wakaunga waya 1 tu ma live na kuuacha ule wa neutral umekatwa na ndani wanatumia earth wire kama kawaida umeme unapiga kazi jamaa wana mwaka kama wa sita hiv wanadunda tu ishu kubwa ni je imewezekanaje.

Nakuna mdau 1 aliwah nidokeza kuwa kuna namna ya kuunga umeme na LUKU ikawa inasoma taa tu lakin matumiz mengine hayachajiw na LUKU je na hiyo imekaaje??
Mwenye utalam aumwage bas
 
Resistance itakuwa kubwa hivo umeme unaorudi underground hautakuwa standard kupitia earth wire neutral inakuwa stable na balanced kwa sababu ni star point ktk supply transformer ..kingine Earth yako sio much strong kama neutral tunavyoiground ktk Transformer
 
Wataalam wa umeme na wenye ufaham juu ya umeme kuna kitu kinaniumiza kichwa kidogo ningeomba mtegeu kitendawi hicho ndani ya kichwa changu.

Je haiwezekan nikatumia umeme kwa kuunganisha waya wa LIVE na waya wa EARTH ili utumike kama NEUTRAL??
Kama haiwezekan ni kwanin haiwezekan wakati ukigusisha waya wa live na earth kunakuwa na short??

Nawasilisha kwenu wataalam??

inawezekana na hata hivyo ndivyo TANESCO wanavyofanya ili kupata neutral. huwa neutral inachukuliwa ardhini kama ilivyo earth lakini kutoka katika kituo cha kusambazia umeme na sio nyumbani kwako
 
Aya majaribio ni vizuri ukayafanya nje na nyumba ya familia yako maana hamchelewi likitokea la kutokea mnaanza laumu tanesco wanakata na kuzima ndio wameunguza nyumba kumbe ujinga wa majaribio yanayofanyiwa kwenye nyumba mnazoishi..ukitaka hivyo unatakiwa ubadiri mfumo mzima kuanzia cb yenyewe na mpaka mfumo wa umeme unaokuja kutoka tanesco vinginevyo ndugu yangu cjajua utakachokua unajaribu kukifanya utakua umeshapima hasara na faida zake
 
Nafikiri wengi wanakujibu theoretically tu wacha nichimbe zaidi Hii ni possible kabisa kama umepokea umeme katika Delta connection mfano viwandani wao wana take up 11kV three phase bila neutral wire hapo utaunga earth point na itakamilisha mzunguko na kuleta matokeo ya kama kuwasha taa au lah ila kwa sie consumer wa Low voltage ambao tunapokea power kutokea katika Star connection ni vigumu mno kutumia earth kama return path kwani zile three phase katika secondary winding tayari zimesha ungwa zote na zimetengenezewa neutral point ndo hio tanesco wanaleta kwa. users yani single phase two wires ,Taa inaweza waka kama ita communicate na rod ktk transformer sema patakuwa na resistance kubwa na italeta ufanisi mdogo kama dim right au lah
 
Back
Top Bottom