Wataalam wa TECHNOLOGY naomba msaada wenu katika hili.

Wataalam wa TECHNOLOGY naomba msaada wenu katika hili.

Last edited by a moderator:
Mkuu!
Nimefanya hatua ya 1 na ya 2 ikatokea vile vile kama nilivyoeleza awali, sikona mahalapakuendelezea hatua ya 3,4,5na ya 6. Naomba niwekee ama nifafanulie vizuri namna ya kufanya.

View attachment 288556




umekwama wapi mkuu..kwa pemben huko si kuna vi alama kama vipembe tatu au kama vibox hiv ko wewe click hivo mpka the last stage kwa kufata maelezo yangu..kam vip weka picha nikuonyeshe hivo vi alama.
 
I'm late here but I'll be happy to help the second problem..

Natumai umehitaji msaada wa kuifanya iwe na speed kama ilivyokuwa awali..!
Kama hujapata solution basi unaweza kutumia njia hii..

Nenda kwenye start
Then, tafuta "run"
Ikifunguka andika "%temp%" bila quotation..
Itafungua ma file mengi.. Then hold Ctrl + A ku highlight yote.. Then

Hold Shift + delete katika keyboard yako, kisha click ok... Or yes

Baadae italeta kijibox, then click "skip"

Baada ya hapo, click start utafute "run" inategemea na windows unayotumia, hapa natumia windows 10.. So hivi ninavyotoa ni kwa windows mara nyingi xp na 7 kwakuwa hata command "run" haipatikani kwenye start kwenye windows 8 and 10

Ukipata run andika "msconfig" hiyo ni "system configuration" click katika boot

Kama kuna windows zaidi ya moja inatumika hapo, futa.. Be careful, futa ambayo haitumiki kwa wakati huo.. Kama itakuletea wasi wasi achana nayo..

Nenda palipoandikwa "services" tick palipoandikwa hide all microsoft services

Then nenda startup ambayo pia inapatikana kwenye "task manager" (kupata task manager tumia shortcut " Ctrl + Shift + Esc" or ctrl + alt + delete
Disable all ambazo ni program ulizoweka na unazifahamu kazi zake, kama vile internet.d.manager(idm) nk


Then; open "my computer" kisha "local disk c" then right click, nenda katika "properties"

Kisha disk clean up

Ukipata tatizo nitafute facebook "Maedson Mahonge"

Mungu na akubariki

Sent from my BlackBerry 10 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom