Wataalam wa simu naomba utatuzi wa hili tatizo

Introver

JF-Expert Member
Apr 6, 2019
485
544
Salam wadau wote
Ni Hivi simu yangu techno y2 kila nikiizima na kuwasha meseji za zamani zina jirudia yaani kitendo cha kuzima na kuwasha tu meseji za miezi 6 iliyopita zinaingia nimejaribu kureset lakini tatizo linajirudia naombeni ufumbuzi wadau
 
Pole sana mkuu, ngoja wataalamu wa simu waje watakushauri namna ya kufanya.
 
Asee tecno nahisi n tatzo,mm mwnywe nina tatzo hilo yani nkizima cm nkiwasha inanchukua siyo chini ya dk15 meseji ziingie,kitu ambacho kimehatarisha ndoa yangu kwani SMS za michepuko za enzi hzo zinajirudia
unatumiaje Tekno????
 
Dah ina bore kabisa
 
Hilo tatizo ni common sana kwa simu za tecno hasa matoleo ya zamani kidogo, mi kuna W3 hapa ipo hivyo hata nikitoa laini bado meseji zinaingia.
 
Back
Top Bottom