wataalam,hii niliiijaribu mwenyewe na imekubali vizuri,hiyo c band ni ipo ARABSAT 5C @20'E,na ku band ipo SES 5 @ 5'E.katika hiyo ku band,congo tv naipata kwa signal ya 78%,na na katika hiyo c band,jsc sports,naipata kwa 76%,wiki hii ntajaribu tena maana nahisi kati ya hizo c band na ku band,naweza iweka eutelsat w3 @ 7'E ili kupata mbc 1,2,ntaweka ubaoni.pia nashauri wataalamu wengne ambao wanafahamu zaidi,waweke attachments kwa faida ya wengine pia wajifunze kupitia JF na kama ntakuwa nimekosea chochote katika hii attachment,naomba kukosolewa pia,pia katika hiyo dish nyingine yenye c band mbili,c band iliyo prime focus ni intelsat 906 @ 64'Eni kwa ajili ya local channels,na hiyo c band nyingine ni ni NSS 12 @ 57'E,hapo napata tv CHARD kwa signal ya 70%,dish zote mbili hizo ni futi sita kila moja
nimeipenda hyo. Kaka ombi langu kwako n kuwa uchambue picha moja baada ya nyingine ili na ss ma slow leaner tujifunze. Vipi hyo tv kongo unaipata kwa uelekeo gani? Vipi fr za kutafutia kwa hyo nss 12 c bandd? Pia n vzur post hii ukaiweka na kwene thread yetu ya ulimwengu wa sat tvs kwan imepoteza mwelekeo na kinachopatikana hko hamna zaidi ya matangazo ya biashara.
bim ya west kupitia zuku dish piatv monde
Mkuu umejitahidi sana
maana kazi hii inatakiwa uwe na decoder yenye uwezo wa scan mill signal
maana unawe kupata tabu ya zitafuta signal katika dish setings ili upate
satelite unayo taka ila karibia nying za HD zina uwezo wa ku scan mil
signal.BIGUp mkuu