Wataalam wa sat dish,oneni hii kitu

Wataalam wa sat dish,oneni hii kitu

nictbb

Senior Member
Joined
May 18, 2012
Posts
119
Reaction score
9
wataalam,hii niliiijaribu mwenyewe na imekubali vizuri,hiyo c band ni ipo ARABSAT 5C @20'E,na ku band ipo SES 5 @ 5'E.katika hiyo ku band,congo tv naipata kwa signal ya 78%,na na katika hiyo c band,jsc sports,naipata kwa 76%,wiki hii ntajaribu tena maana nahisi kati ya hizo c band na ku band,naweza iweka eutelsat w3 @ 7'E ili kupata mbc 1,2,ntaweka ubaoni.pia nashauri wataalamu wengne ambao wanafahamu zaidi,waweke attachments kwa faida ya wengine pia wajifunze kupitia JF na kama ntakuwa nimekosea chochote katika hii attachment,naomba kukosolewa pia,pia katika hiyo dish nyingine yenye c band mbili,c band iliyo prime focus ni intelsat 906 @ 64'Eni kwa ajili ya local channels,na hiyo c band nyingine ni ni NSS 12 @ 57'E,hapo napata tv CHARD kwa signal ya 70%,dish zote mbili hizo ni futi sita kila moja
 
kazi nzuri, hapo unapopata tv congo unaweza pata 7E bila kuongeza lnb nyingine.
 
nimeipenda hyo. kaka ombi langu kwako n kuwa uchambue picha moja baada ya nyingine ili na ss ma slow leaner tujifunze. vipi hyo tv kongo unaipata kwa uelekeo gani? vipi fr za kutafutia kwa hyo nss 12 c bandd? pia n vzur post hii ukaiweka na kwene thread yetu ya ulimwengu wa sat tvs kwan imepoteza mwelekeo na kinachopatikana hko hamna zaidi ya matangazo ya biashara.
 
nimeipenda hyo. Kaka ombi langu kwako n kuwa uchambue picha moja baada ya nyingine ili na ss ma slow leaner tujifunze. Vipi hyo tv kongo unaipata kwa uelekeo gani? Vipi fr za kutafutia kwa hyo nss 12 c bandd? Pia n vzur post hii ukaiweka na kwene thread yetu ya ulimwengu wa sat tvs kwan imepoteza mwelekeo na kinachopatikana hko hamna zaidi ya matangazo ya biashara.

bim ya west kupitia zuku dish piatv monde
 
na katika kupata hiyo nss12 ndani ya c band unaweka neflon au huweki(kile kidude cha ndabi)
 
Mkuu umejitahidi sana maana kazi hii inatakiwa uwe na decoder yenye uwezo wa scan mill signal maana unawe kupata tabu ya zitafuta signal katika dish setings ili upate satelite unayo taka ila karibia nying za HD zina uwezo wa ku scan mil signal.BIGUp mkuu
 
Mkuu umejitahidi sana
maana kazi hii inatakiwa uwe na decoder yenye uwezo wa scan mill signal
maana unawe kupata tabu ya zitafuta signal katika dish setings ili upate
satelite unayo taka ila karibia nying za HD zina uwezo wa ku scan mil
signal.BIGUp mkuu

scan mil ndo ikoje? n reciva gan znahyo ktu?
 
Wakuu,

Samahani naenda nje ya mada kuu kidogo.

Kuna jamaangu fundi wa haya madishi alinambia siku hizi kuna madishi madogo kama la zuku au Dstv, lakini ni la FTA kama haya ya 6ft, na kwamba yana decoder yake maalum.

Naomba wadau kama jambo hili ni kweli tujuzane.

Shida ya madishi makubwa ninayoexperience mimi ni kupoteza au kuhama na hivo kuanza scratch hatimaye kupoteza kabisa signal.

Aliyepata kutumia madishi hayo madogo atupe uzoefu tafadhali.
 
dish saiz yoyote linaweza kushika FTA kinachotakiwa tu katika satellite ulioelekezea kuwe na free to air channels, ila nadhani ulichokuwa unamaanisha ni kupata channel za local(tz) kwa kutumia hayo madishi madogo, kilichokuwa kinafanyika ni kuzipata kupitia TING ambapo ilimbidi anaetaka kuzipata lazima awe na risiva ya kisasa ya mpeg4 ingawa walitangaza kuanzia november watahama kutoka eutelsat36 to amos5 sasa hatujajua huko nako zitaendelea kuwa fta au watazifunga
 
Na mtoa mada nilikuuliza kama katika hiyo lnb ya c band ya nss12 tunaweka kale kadude ka ndani ya lnb au hatuweki?nijibu leo nifanye test
 
wataalam,hii niliiijaribu mwenyewe na imekubali vizuri,hiyo c band ni ipo ARABSAT 5C @20'E,na ku band ipo SES 5 @ 5'E.katika hiyo ku band,congo tv naipata kwa signal ya 78%,na na katika hiyo c band,jsc sports,naipata kwa 76%,wiki hii ntajaribu tena maana nahisi kati ya hizo c band na ku band,naweza iweka eutelsat w3 @ 7'E ili kupata mbc 1,2,ntaweka ubaoni.pia nashauri wataalamu wengne ambao wanafahamu zaidi,waweke attachments kwa faida ya wengine pia wajifunze kupitia JF na kama ntakuwa nimekosea chochote katika hii attachment,naomba kukosolewa pia,pia katika hiyo dish nyingine yenye c band mbili,c band iliyo prime focus ni intelsat 906 @ 64'Eni kwa ajili ya local channels,na hiyo c band nyingine ni ni NSS 12 @ 57'E,hapo napata tv CHARD kwa signal ya 70%,dish zote mbili hizo ni futi sita kila moja

Kuna uzi hapa nadhani utakufaa https://www.jamiiforums.com/tech-ga...um/274391-ulimwengu-wa-fta-satellite-tvs.html
Na mwingine nadhani uko kwenye international forums huko ndiyo watu wanaingia deep sana, nikiupata nitaweka link hapa.
 
nashukuru sana kaka kwa kuniongezea maarifa,tupo pamoja mkuu
 
ahsante sana mkuu na nashukuru sana,ni kweli kabisa na nipo katika mpango wa kutafuta strong mpeg4 hd kaka,hapo nilikuwa natumia strong srt 4669 mpeg2
 
hiyo ku unayoiona ipi 5'E ndipo naipata tele congo kwa fr 12054 v 29950 na nss 12 @ 57'E naipata tv chard kwa fr 3632 R 2625,ni kweli ningeiweka kule,lakini kwa nn kila kila kitu kinachohusu sat uweke kule,hii nimeamua kuanzisha post nyingine,halafu fahamu kwamba sipo kipesa kaka,humu jf nimejifunza mengi sana lakini sijalipia hata kumi,kwa nini niwalipishe wengine,hilo siyo lengo langu,ondoa shaka,hata wewe na wengine nitawaelekeza buuuuure,karibu sana,kama kuna la ziada uliza.
 
kaka unaweka,tena unaweka kama unavyotaka tbc iwe vertical katika local channel
 
wataalam,hii niliiijaribu mwenyewe na imekubali vizuri,hiyo c band ni ipo ARABSAT 5C @20'E,na ku band ipo SES 5 @ 5'E.katika hiyo ku band,congo tv naipata kwa signal ya 78%,na na katika hiyo c band,jsc sports,naipata kwa 76%,wiki hii ntajaribu tena maana nahisi kati ya hizo c band na ku band,naweza iweka eutelsat w3 @ 7'E ili kupata mbc 1,2,ntaweka ubaoni.pia nashauri wataalamu wengne ambao wanafahamu zaidi,waweke attachments kwa faida ya wengine pia wajifunze kupitia JF na kama ntakuwa nimekosea chochote katika hii attachment,naomba kukosolewa pia,pia katika hiyo dish nyingine yenye c band mbili,c band iliyo prime focus ni intelsat 906 @ 64'Eni kwa ajili ya local channels,na hiyo c band nyingine ni ni NSS 12 @ 57'E,hapo napata tv CHARD kwa signal ya 70%,dish zote mbili hizo ni futi sita kila moja

Haya mambo nayapenda kweli, nikirudi kijijini jiji likisha bana lazima nirudi kwenye fani. asante mkuu
 
Back
Top Bottom