wataalam wa playstation msaada jamani...

wataalam wa playstation msaada jamani...

Dr.viruz

Senior Member
Joined
May 28, 2013
Posts
183
Reaction score
155
wakuu naomba mnisaidie jinsi ya kutumia flash kwenye play station coz ps yangu imekufa lenzi ....
 
It is possible to load games from usb devices or hard drives to make this possible you will need free mc boot BOOTABLE MEMORY CARD to create a ps 2 bootable memory card you'll need a MODDED PS 2, flash disk, a free memory card, U launch.ELF copied to CD and flash drive and free_MC BOOT.ELF saved to your USB stick.
 
Nunua lens, halafu peleka kwa fundi. Hiyo itakuwa rahisi zaidi.
 
nimebadilisha lenzi mara mbili lakini bado inazingua.nimeona njaribu hii njia ili kuepuka hasara tena.
 
Kuna jamaa mtaalam kkoo, round abt (msimbaz st na uhuru st zinapokuatana) upande wa kulia kama unaelekea posta( immeadiately aftr rnd abt) ..kuna watu wanauza tv/dvd/ remotes nyingi..hapo hapo yupo huyo jamaa...utakuta anauza na baadhi ya vifaa vya ps
 
wakuu naomba mnisaidie jinsi ya kutumia flash kwenye play station coz ps yangu imekufa lenzi ....

Mkuu taja serial no. yake. nitakupa maelezo yote, ila tu kuna version fulani hazikubali kutumia flash.
 
Back
Top Bottom