Dena Amsi
R I P
- Aug 17, 2010
- 13,080
- 4,275
Kijana alikwenda kukopa kwa Baba sh 50 na Mama sh 50 akawa na sh 100, akaenda kununua vitu vya sh 97 akabaki na sh 3, akarudi akampa Baba sh 1 na Mama 1, na yeye akabaki na sh 1, kwa hiyo Baba anadai sh 49 na Mama sh 49, ukijumlisha unapata sh 98, ukijumlisha na ile sh 1 inakuwa sh 99, sh 1 iko wapi?