Wataalam wa magari tusaidiane hapa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wataalam wa magari tusaidiane hapa.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kitty Galore, May 29, 2011.

 1. Kitty Galore

  Kitty Galore JF-Expert Member

  #1
  May 29, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 347
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Ningependa kujulishwa nini tofauti ya Rav4 GX, Rav4 VX, Rav4 L, Rav4 J na mengine mengi ya kitaalam kuhusu hili gari aina ya RAV4. Na pia kuhusu VW Polo na VW Golf upatikanaji wake wa spare hapa bongo.
  Heshima zenu sana wakuu
   
 2. Nyangomboli

  Nyangomboli JF-Expert Member

  #2
  May 29, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,307
  Likes Received: 649
  Trophy Points: 280
  RAV4 TX, GX, J, L, Base, ni ile ile ila options za gari hiyo ndo zinaweza kuwa tofauti kulingana na class yake. VW POLO VW GOLF zinatofautiana japo zote ni brand moja. lakini spare zake si nyingi japo haziharibu spea mara kwa mara na ikiharibu mkuu ni gharama kubwa kuirepair au kununua parts mpya. ila ukiwa unaipenda just go for it.
   
 3. m

  mzawahalisi JF-Expert Member

  #3
  May 29, 2011
  Joined: Jan 11, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Vp mbona kimya hamna anaetoa ushauri kwa mwanajamii huuyu? Naamini wengi wa members humu Jamvini wanamiliki haya magari, je ndo kusema hata wao hawayafahamu magari yao? Come on guys huyu jamaa inaelekea anataka kuvuta RaV 4.
   
 4. Kitty Galore

  Kitty Galore JF-Expert Member

  #4
  May 29, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 347
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  uko sawa kabisa mkuu, nina choice ya Rav4 na VW lakini aina za hizi Rav4 ndio zinanichanganya, watu wengi wana haya magari lakini inaonekana hata wao kweli hawayafahamu
   
 5. Kitty Galore

  Kitty Galore JF-Expert Member

  #5
  May 29, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 347
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  asante sana mkuu kwa msaada wako, ningependa kuelewa hizo options ndio zipi
   
 6. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #6
  May 29, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,443
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
 7. Nyangomboli

  Nyangomboli JF-Expert Member

  #7
  May 29, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,307
  Likes Received: 649
  Trophy Points: 280
  options ni kama unakuta gari nyingine ina dvd au navigator au keyless entry au smart entry nk. lakini cha muhimu zaidi ni kujua ina engine aina ipi. kuna VVTI D4 au kwa zile model za kuanzia mwaka 94 hadi 99 unakuta zina engine za DOHC. Pia uzito wa injini unatofautiana. 1.8, 2.0 na kwa model za kuanzia 2005 ni 2.4 hadi 3.0. ni chaguo lako mkuu. sijui kama umenielewa vizuri lakini. base ni ile haina makolokolo mengi. kwa jina jingine ni standard.
   
 8. Kitty Galore

  Kitty Galore JF-Expert Member

  #8
  May 29, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 347
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  asante mkuu, lakini mbona inanipeleka kwenye page ya yahoo iliyopo kwa lugha ya kijapan? dhamira yako ilikuwa kunisaidia kweli?
   
 9. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #9
  May 30, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,443
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Pole sana!
   
 10. k

  kimondo Senior Member

  #10
  May 30, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 161
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ingia kwenye website ya toyota utapata ufafanuzi
   
 11. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #11
  May 30, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,443
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Google...Rav4
  Hapo ataongeza J,L,X ataona zaidi atakayo.
  en.wikipedia.org
  Ni nzuri ambayo nilitazama mimi....!
   
Loading...