profesawaaganojipya
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 1,485
- 3,131
Milango ya abiria ya noah road tourer, ikifunga haibani vizuri, hata mifumo ya umeme haifiki vizuri, ukifunga kuna uwazi, shida inaweza kuwa nini wataalam na ufumbuzi wake ni nini?msaada tafadhali.