Wataalam wa kuchimba visima vya maji Dar

Futota

JF-Expert Member
Dec 11, 2010
521
87
Naomba contact za wachimba visima vya maji Dar.
Hivi inaweza kugharimu kiasi gani uchimbaji wa kisima cha maji kwa matumizi familia ya kawaida?
Shukran!
 
Kuna kampuni inaitwa...water wells services ltd,...ilikua karibu na kisutu sec.pale
 
Mkuu hebu mpigie huyu jamaa anaitwa Rama(0714116247) mimi alinichimbia na kisima kiko vizuri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom