LEGE
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 5,123
- 9,168
nataka kufaham ufanyaji kazi wa remote control.ni vipi remote zinafanya kazi na kwanini remote haziwezi kuingiliana ? na wakati remote ina oparate kipi huwa kinfanyika?? na je kwenye saketi ya remote ile chip inayokuwa na data au CODE huwa zile data unaweza kuzisoma na kama inawezekana unaweza kuzisoma kwa njia gani?
kama maswali haya mtanijibu hasa kwa remote za gari itakuwa vizuri zaidi??
na je kuna aina ngapi ya remote??
kama maswali haya mtanijibu hasa kwa remote za gari itakuwa vizuri zaidi??
na je kuna aina ngapi ya remote??