MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 6,633
- 11,886
nataka kufaham ufanyaji kazi wa remote control.ni vipi remote zinafanya kazi na kwanini remote haziwezi kuingiliana ? na wakati remote ina oparate kipi huwa kinfanyika?? na je kwenye saketi ya remote ile chip inayokuwa na data au CODE huwa zile data unaweza kuzisoma na kama inawezekana unaweza kuzisoma kwa njia gani?
kama maswali haya mtanijibu hasa kwa remote za gari itakuwa vizuri zaidi??
na je kuna aina ngapi ya remote??
Hapa kuna Field kama tatu/au mbili inabidi uzifahamu vizuri
1.Electronics
2.Telecomunications
3.Computer Engineering
Kwenye Remote(Transimiter) kuna Sensor inaitwa IR sensor ambayo ina traminsimit signal ambazo zinakuwa na "Certain instruction" TV(Receiver) yako inapopokea zile signal inavisoma na kujua maana yake then it does what it supposed.
Kuhusu codes sidhani kama hata ukiziona you can Understand them, Codes zinazowekwa kwenye Microcontroller au Microcontroller ni HEX or ELF..., unachotakiwa kujua either C au Assembly...
But Remote control is one of easiest thing to make kwa Kipindi hiki