Kuna mada moja iliibuka na wahusika hawakufikia muafaka. Mzozo ulikuwa juu ya kifaa kipi kinatumia umeme mwingi zaidi pale kinapowashwa na kuanza kutumika. Je ni tv ya inch 21 au ile ya inch 14? Ama vyote "vinakula" kiasi sawa cha umeme? Experty answers please and not experiencial ones, naomba kuwasilisha