Wataalam nisaidieni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wataalam nisaidieni

Discussion in 'JF Doctor' started by Aine, Aug 2, 2011.

 1. A

  Aine JF-Expert Member

  #1
  Aug 2, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Naelewa wazi kwamba masuala ya kuzaa ni Mungu ndiye anapanga, pia naelewa kwamba kuna watalam wamesomea taaluma mbalimbali mfano DAKTARI. Nisaidieni wataalam, hivi mwanamke anapogundua kuwa ni mjamzito, anaaza kuhesabu lini ili ajue atajifungua lini? (ingawa daktari atamuambia matarajio ni lini) hapa tatizo ni lini aanze kuhesabu, coz wakati mwingine mwanamke mjamzito anaweza kupiliza kwa wiki mbili ile tarehe ya matarajio au akajifungua wiki mbili kabla


  Nawashukuru wote mtakaonisaidia
   
 2. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #2
  Aug 2, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,116
  Likes Received: 6,596
  Trophy Points: 280
  Nitarudi ngoja dr wamwage sera zao hapa.
   
 3. A

  Aine JF-Expert Member

  #3
  Aug 2, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Naona ma dr wako busy hospitali, nami seriously nataka kujua maana am pregnant
   
 4. KAKA A TAIFA

  KAKA A TAIFA JF-Expert Member

  #4
  Aug 2, 2011
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 564
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Clinic mnaambiwa kuhusu yote haya,nadhani unatakiwa kuhudhuria.nikumegea kidogo wanilipa nami sitaki fedha kazi kwako.anza kuhesabu kuanzia siku ya kumi na nne ilipomalizia mp ya mwisho .kwahiyo kama ilikuwa siku hiyo ya 14 nitarehe 13/06/2011 mapaka 13/07/2011 utakuwa umetimiza mwezi mmoja.uwe makinim kujua ulipomalizia mp uanzie hapo.mabadiliko huwa yapo kutegemeana na :-hali ya hewa:vyakula:umri:madawa:kusafiri:aina ya kazi mtu anazofanya:ajali:magonjwa nk
   
 5. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #5
  Aug 2, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Aine...Daktari hawezi kukuambia kwa uhakika kuwa utajifungua lini. Unachoongelea wewe ambacho daktari anakuambia inaitwa 'Expected Date of Delivery (EDD)'. Hii ni kwa assumption kuwa mwanamke anaweza kujifungua wakati wowote pindi mimba yake inapotimiza wiki 36 (miezi 9), ambapo tunaita 'Term pregnancy'. Ila mwanamke anaweza akajifungua wiki chache kable ya hapo au mara nyingi wiki kadhaa baada ya hapo...rarely on exact date.

  Hiyo EDD ni mahesabu ambayo daktari anapiga, na kuna formula maalum ya ku'calculate' hiyo date, ukireflect tangu siku mwanamke amepata mimba ukitumia proxy ya kuona siku zake kwa mara mwisho, hadi mimba itakapotimiza wiki 36. Kuna virahisisha kazi (job aids) siku hizi ambazo zinasimplify hiyo formula na hivyo ukimtajia daktari siku uliyoona hedhi kwa mara ya mwisho basi anazungusha tu kikaratasi fulani anapata EDD, ukimuomba daktari wako anaweza kukuonyesha.
   
 6. A

  Aine JF-Expert Member

  #6
  Aug 3, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nakushukuru sana mkuu nitafanya hivyo na barikiwa
   
 7. A

  Aine JF-Expert Member

  #7
  Aug 3, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ahsante sana mkuu, nimekuelewa barikiwa
   
 8. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #8
  Aug 3, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  hata hiyo term pregnancy inakuwa 40 wks,bt normaly it can b 2 wks b4 or 2 wks after kulingana na makadirio. Kuhusu calculation ni kama ilivyoelezwa hapo juu.it needs darasa na chaki za kufundishia! Teh! Teh!
   
Loading...