Wataalam Naomba mbinu za kulinda account ya Instagram kuhakiwa

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
4,148
11,196
Wataalam wa IT kama mnavyojua instagram kwa sasa imevamiwa na mahackers ambao wamekuwa wakiiba account za instagram mara kwa mara,nawakaribisha wataalam watufundishe mbinu za kulinda account zetu kudukuliwa ama kuhakiwa

Karibuni wazoefu
 
Wataalam wa IT kama mnavyojua instagram kwa sasa imevamiwa na mahackers ambao wamekuwa wakiiba account za instagram mara kwa mara,nawakaribisha wataalam watufundishe mbinu za kulinda account zetu kudululiwa ama kuhakiwa

Karibuni wazoefu
Wangekuwa wanajua kuhack I'd wangeanza na kina Ronaldo wenye follower milioni 200, ngumu sana kuhack haya makampuni.

Kibongo bongo Watu wanaibiwa tu kienyeji.
1. Mtu anasajili namba ya simu uliotumia michongo wana fanya freelancer ama wafanya kazi wa mtandao.

2. Mtu anauziwa I'd anapewa user na pass baada ya mwezi mwenye email husika anarequest pass mpya na kukupokonya ID, anakudanganya ni hackers.

3. Phishing website feki ya insta unapewa unaingiza tu user na pass, hii Pia hutumika kwenye site za Autolike, kudownload picha na video za insta etc. Kifupi usiingize user na pass sehemu yoyote isio official Instagram.

4. Loggers mbalimbali mtu anakuwekea inaweza kuwa pc ama simu ambazo zinadaka password etc.

Mambo ni mengi Ila njia ndo hizi hizi, adui yako ni huyo hapo karibu yako, si rahisi mtu a kuhack mbali.
 
Baba angu umemaliza kabisa
 
Kama ni akaunti ambayo unafanyia biashara na matangazo, basi namba yako na email uliyotumia kufungua akaunti isiwe ndiyo unayotumia katika mawasiliano ya kibiashara.
Daah jamaa asantee sanaa
 
Kwa kuwa Chief-Mkwawa ametueleza sababu zinazopelekea kuibiwa akaunti ya mhusika. Basi ni jukumu langu kueleza mbinu za kuzuia tatizo hilo.
-
1. Chagua passwords ngumu na hakikisha ni siri yako | Passwords unaweza kubadili kila baada ya miezi sita.

2. Ruhusu Two-Factor Authentication (2FA) | Itakuwezesha kupokea na kuamua uingiliwaji wa akaunti yako kupitia Authentication Generator/App - Nambari ya simu - Barua pepe (Email).

3. Dhibiti matumizi ya akaunti yako katika vifaa visivyo vyako, usiingie Instagram kupitia saa, simu au Kompyuta isiyo yako/usiyoamini | Ikiwa umeingia basi hakikisha una-Forget Sessions na kutohifadhi passwords zako.

4. Mara kwa mara chunguza Login Activity zako kupitia aplikesheni husika. Activity hizi uhifadhi kumbukumbu za muda, kifaa na eneo. | Ukiona hufahamu au mashaka basi log out katika hizo activity.
 
Asanteeee
 
Fact
 
Back
Top Bottom