Naomba Msaada wa kurekebisha Samsung i9300 touch screen digitizer

Naomba Msaada wa kurekebisha Samsung i9300 touch screen digitizer

Msherwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2012
Posts
1,323
Reaction score
1,230
Wakuu, Simu yangu samsung i9300 (kwa mujibu wa back label & cover), sikuwahi kujua ni galaxy ngapi, but kila nikisearch online naletewa galaxy s3 (if am not mistaken) Tatizo ni kwamba imepata crack kubwa kwenye screen bila kugusa display (LCD) hata kidogo, maana inadisplay vyema tu, ila tu touch sensitivity ndo iko wrong, sasa huwa najua kwamba ikiwa hivi ni kubadilisha tu digitizer na husolve issue, Tatizo kila nikisearch online digitizer yake nakuta cable (mkanda wa kuunganishana motherbord) iko chini kushoto karibu home button, wakati simu yangu nimeifungua nakuta cable yake ipo juu kulia kwa front camera, yaani nikiiangalia digitizer na motherboard ya simu zinakuwa incompatible kwa mkao wa cable japo muonekano na namba zao zinafanana kabisa,

msaada wakuu kama kuna altenative ya kusolve hii, au kama kuna uwezekano wa kupata digitizer hizi zenye cable upande wa juu near front camera,
chief-mkwawa njunwa wamavoko Mars Rover CYBERTEQ & Bulldog hebu nipeni mwanga hapo

Natanguliza shukrani
 
Last edited by a moderator:
Nakushauri ungeipeleka kwa agent wa samsung akuchekie tatizo hasa, kwasababu unaweza ukajidai kuifungua ukaiua kabisa. Bora utoe hela kitu kipone.
 
Bro, ingekua vizuri kama unge upload picha za hiyo simu..Alafu ilikupata uhakika wa Model ya simu yako check IMEI yako HAPA .. Inaweza kuwa ni clone ya Goophone mkuu.. Tupe feedback
 
Back
Top Bottom