mhhh just correction Kuwait hakuna Sultan wala mfalme..... they have Emir (prince) and definitely not a black... here is the picture of Emir Sabah Al-Ahmed Al Sabah
sul·tan   [suhl-tn] Show IPA
–noun
1.
the sovereign of an Islamic country.
2.
( often initial capital letter ) any of the former sovereigns of Turkey.
3.
any absolute ruler or despot.
Mimi hata Kikwete huwa namuita Sultani wa TZ kwa sababu by some measures ana fit hiyo definition ya tatu, itakuwa huyo muarabu ?
Kiranga,
Huyo fool of ernomous proportions mbona anapatikana Nigeria? Nasikia wenzetu wanapata 60% ya oil revenues na zote zinaishia kwenye benki za nje kwa accounts za watu binafsi. Nimesoma juzi mpaka sasa hawajui $300 billions zimekwenda wapi. Imagine what that amount could have done to the whole of Nigeria.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.