Waswahili wa Uarabuni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waswahili wa Uarabuni

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Boflo, Aug 4, 2010.

 1. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #1
  Aug 4, 2010
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  [​IMG]

  [​IMG]

  Picha 1- Mswahili wa Dubai

  2- Mfalme wa Kuwait- Alsabah (mswahili)

  Wana JF nimepata mfadhili, kwa sasa niko nchi za Kiarabu, Nimeamua kukupeni elimu kidogo kuhusu Uarabuni, mara nyingi nimewasikia baadhi ya wana JF wakisema kuwa hakuna waswahili nchi za Kiarabu kama ilivyo kwa America na Ulaya, Sasa nakupeni

  hali halisi, huku kuna Waswahili wengi sana ambao ni raia wa huku na ni matajiri wa kutisha, wanamiliki visima vya mafuta na wengine wana vyeo vikubwa sana serekalini mpaka wafalme!! Mfalme wa Kuwait ni mswahili….

  Nchi kama Qatar, Bahrain, Kuwait, Oman, Saudia, UAE…wamejaa waswahili na nimatajiri wakubwa sana, hawana mpango kabisa na Africa japokuwa ndio asili yao.

  Waswahili wa Ulaya na Marekani , wengi wao ni watu wa tabaka la chini, wakimbizi na masikini!.. ni tofauti na waswahili wa Uarabuni.

  Kuhusu maendeleo niliyoyakuta huku, sijui hata namna ya kuelezea, hawa watu wako mbali saaaaaaaaana, nakuhakikishieni mpaka mwisho wa Dunia utafika hatuwezi kufikia hata stage hii ninayoiona hivi sasa!!, siasa za usanii ndio matunda tuvunayo Bongo
   
 2. Kardinali

  Kardinali Member

  #2
  Aug 4, 2010
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu Boflo,
  Unapozungumzia mswahili sijui unamaanisha nini. Kwamba ni waswahili kwa rangi yao au waswahili kwa tafsiri ya uswahili ya huku kwetu? Ama? Hebu tuweke sawa hapo kidogo.
   
 3. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #3
  Aug 4, 2010
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Inawezekana Uswahili wao si wa kuzungumza kiswahili bali ngozi yao na asili ya walipotoka tangu vizazi ndio maana wanafananishwa na waswahili.Hongera zao kwa kuwa na maendeleo ambayo hatutaweza kuyafikia kama usemavyo ila DUNIANI TUNAPITA!
   
 4. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #4
  Aug 4, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,197
  Trophy Points: 280
  Unaweza kutupa asilimia yao katika idadi ya watu wote, asilimia ngapi wana maisha hayo mazuri na visima vya mafuta unayoyasema?

  Halafu pia unaweza kutuambia kwa nini waliochukuliwa utumwa walikuwa wengi sana lakini waliobaki ni wachache sana ?
   
 5. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #5
  Aug 4, 2010
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Boflo usha olewa arabuni.
  Hongera zako sana.
   
 6. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #6
  Aug 4, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,367
  Likes Received: 7,008
  Trophy Points: 280
  UMEPATA MFADHILI WA NINI TENA?

  Nadhani Boflo unashindwa kutofautisha kati ya weusi wa America na Uk na hao wa huko Arabuni,
  hao wa uko Marekani na UK wengi wao wamefika huko kama Watumwa na walikuwa hawana chao zaidi ya kufanyishwa kazi tu, hao unaowaona huko Arabuni hakuna hata mmoja aliyekuwa mtumwa, hao wameenda aidha kwa ndugu zao wa damu, wazazi, ami, wajomba na watu kama hao
  huyo unayemzungumzia Mfalme Kaboos yeye kazaliwa Tabora na mamaye ni Mnyamwezi kabisa, kwa hiyo huyo huwezi kumlinganisha na wale watumwa wa UK na Marekani
   
 7. GAMBLER

  GAMBLER JF-Expert Member

  #7
  Aug 4, 2010
  Joined: Nov 22, 2009
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  very interesting, boflo unatupa habari nzito...na ndio maana watu kama michael jackson, mohd ally, tyson, malcom x huwa wanakwenda sana huko na wamejenga nchi za kiarabu
   
 8. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #8
  Aug 4, 2010
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  ......jealous!!
   
 9. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #9
  Aug 4, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  bull$hit lollll
   
 10. Ghost

  Ghost JF-Expert Member

  #10
  Aug 4, 2010
  Joined: Apr 20, 2010
  Messages: 429
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Jamani mbona mnakua kama watoto wadogo.. The guy is just trying to explain what the situation is in the Middle East ..kihusu swaswahili (BLACKS) walioko huko in comparison to those in the West (US & EU)... Sasa mtu anauliza wako wangapi?? wtf?
  Ulizeni how are we gona learn from these guys..Kwasababu sisi huku Africa, we're just a comsuming continent..hatuzalishi chochote ila kwa matumizi na matanuzi ni namba moja. Africa is the only continent which watever is manufactured in the world. Hatuna productivity yeyote, we depend only on the natural resources eg Madini n.k.. Najua wengi mtasema hata Urabuni wadepened on mafuta, but at least wanaendeleza nchi zao na wananchi wanafaidi. Bongo (Africa) we have a long way to go. We should start with our Education Systems..Kwa sababu nizakuajiliwa tuu sio kua mbunifu... I stand to be corrected..
   
 11. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #11
  Aug 4, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,197
  Trophy Points: 280
  Huwezi kulinganisha black arabs wawili watatu walio token ukataka ku paint a rosy picture, kama hivyo na Wamarekani watasema kama Kuwait kuna Sultani mweusi na sisi tuna Obama rais mweusi, kama nyie mna weusi wawili watatu na sie tuna kina Oprah na Johnson mabilionea weusi etc etc.

  Ndiyo maana nikataka nijue percentage wise, katika kila weusi mia wangapi wana visima vya mafuta na wangapi wanachimba mafuta?

  Na kwa nini hamna weusi wengi wakati watumwa kibao walipelekwa huko.

  Sio mnataka kutupa picha ya uongo kwamba waarabu ni watu wazuri na wanawapenda watu weusi wakati ukweli ni vingine.
   
 12. Ghost

  Ghost JF-Expert Member

  #12
  Aug 4, 2010
  Joined: Apr 20, 2010
  Messages: 429
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  sasa mkubwa tuachane na mambo ya utumwa (Slavery)...kwa sababu kuna ila ya kale na ya sasa (modern Slavery) ambao mtu mwenyewe una tafuta visa na kukata ticket ticket kwa cost yoyote ili uwende huko kufanya 'casual' labour.

  Tuzungumzie maendeleo kidogo... How come they are developed? Na wako jangwani?? Na sasa hivi kila mtu anataka kwenda huko..That's the million dollar qtn my broda?
   
 13. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #13
  Aug 4, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  mhhh just correction Kuwait hakuna Sultan wala mfalme..... they have Emir (prince) and definitely not a black... here is the picture of Emir Sabah Al-Ahmed Al Sabah


  [​IMG]
   
 14. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #14
  Aug 4, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  mie naona huyu boflo anataka kuwadaganya....
   
 15. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #15
  Aug 4, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  because they have petrol and are very wealthy.... and they have Islam thats why there is peace and security....
   
 16. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #16
  Aug 4, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Nani anataka kwenda jangwani? hebu tupumzishe!
   
 17. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #17
  Aug 4, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  sio kila mtu anakisima cha mafuta na anachimba mafuta...serikali ndio inacontrol mafuta hakuna individual anaemiliki kisima cha mafuta...:doh:

  Na kwa nini hamna weusi wengi wakati watumwa kibao walipelekwa huko.[/QUOTE]
  weusi wapo wengi tuu u will have to visit the place ujionee mwenyewe....
  kweli sio warabu wote wanapenda weusi na sio wote wanachukia weusi....
   
 18. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #18
  Aug 4, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Abdul its not fun to live jangwani but there other places to live than jangwani.... there are cities and beaches as well...
   
 19. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #19
  Aug 4, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,197
  Trophy Points: 280
  "Maendeleo" ya Uarabuni si siri yanatokana na mafuta, na wangekuwa na akili ya ku manage resources zao wangekuwa matajiri kuliko walivyo sasa.Ila kwa sababu hawapendi kufanya kazi wamewaachia wazungu kufanya exploration na wahindi/ wafilipino kufanya manual labor.

  Ni hivi juzijuzi tu waarabu ndio wameanza kusoma mambo ya ku manage resources zao en masse (if you can even call it that).Katika nchi zote hizo nchi pekee inayofikiria trade diversification ni UAE, particularly Dubai, ambayo nayo ime boogie step kujenga mighorofa kibao bila plan na sasa ina tank.

  Ila kuweka perspective naweza kusema waarabu wametumia resources zao vizuri kuliko sisi, ingawa pia it would take a fool of enormous proportions to squander the billions of petrodollars they get.
   
 20. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #20
  Aug 4, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,197
  Trophy Points: 280
  Wengi wangapi? Asilimia ngapi? Kuna watu wengine wanaweza ku define hata watatu kwamba ni wengi.

  Of course, in general katika spectrum ya kukaa na watu walio tofauti waarabu unawaweka wapi ? Watu dini yao inawaambia kwamba watu wote wasio waislam ni infidels, utasemaje kwamba watu hawa wanapenda weusi?

  Kuhusu umiliki wa visima vya mafuta mimi swali langu la kwamba wangapi wanamiliki visima vya mafuta linatokana na kauli ya Boflo anayesema kuna weusi wanamiliki visima, sasa wewe unam contradict Boflo kwa kusema visima havimilikiwi na watu, nani yuko right kati yako na Boflo ?
   
Loading...