Wasusi na vinyozi lazima kusajiliwa BASATA

Wasusi na vinyozi lazima kusajiliwa BASATA

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
15,918
Reaction score
36,436
Baraza la sanaa la Taifa (BASATA) katika jitihada za kutambua na kurasmisha kundi la vijana na mabinti wasusi na vinyozi limewataka kusajali rasmi na kutambuliwa

BASATA wanasema laZima ziwe kazi rasimi na walipe Kodi Kwa Serikali Kwa kutumia vipaji na sanaa zao za kusuka na kunyoa watu, laZima wachangie Pato la taifa
Screenshot_20250929-161933.png
 
Duh! Serikali imeamua kukaba mpaka penati daadeeki! Sasa kwa hao wachoraji watajisajili vipi wakati wale hufanya kazi zao mara chache zikijitokeza? Kwanza uchoraji ni mpana, wamelenga wachoraji wa aina ipi? Kuna fine artist, signwriter, painter, decorator, cartoonist, wachonga mihuri, wapaka rangi magari na majengo, ni wengi na wengine hawafanyi kazi hiyo kama kazi ya kudumu ya kila siku. Ni ngumu kusajili makundi kama hayo ambayo kazi zao hutokea mara chache chache very rare mtua hataona umuhimu wa kujisajili kwa kuwa anafanya kazi hiyo pale tu inapotokea. Labda hao wa salon maana wana mahali pa kupatikana. Kundi la wachoraji ni ngumu kulidhibiti kutokana na nature ya kazi zao
 
Hii imekuja baada ya yule jamaa kusema anasafisha kucha kwa laki 5 kwa kila kichwa kimoja na ana wateja kibao huko masaki
 
Baraza la sanaa la Taifa (BASATA) katika jitihada za kutambua na kurasmisha kundi la vijana na mabinti wasusi na vinyozi limewataka kusajali rasmi na kutambuliwa

BASATA wanasema laZima ziwe kazi rasimi na walipe Kodi Kwa Serikali Kwa kutumia vipaji na sanaa zao za kusuka na kunyoa watu, laZima wachangie Pato la taifaView attachment 3480868

Afadhali wafikiwe ndo akili ziwakae kila mtu.
 
Isiwe lazima kujisajili, huyo anayetaka mikopo na fursa zingine za kazi yake hiyo aende tu BASATA akasajiliwe. Ukija kwa wasusi na vinyozi ni wengi tena wa madaraja tofauti, kuna wamama husikia nyumbani mtu mmoja, wawili, sio kila siku anapata vichwa vya kusuka. Hawa wenye masaluni makubwa, hair dressing, hair beuaut, hair cutting, barber shop maana hawa wana mpaka VIP salon na wanaingiza hela nyingi wateja nao ni wengi. Mchoraji anapata hela kiasi gani mpaka naye adhibitiwe kwa kusajiliwa na BASATA?
 
Hakika Watanzania wafundishwe kuwajibika kulipa kodi
 
Wachoraji? Wachoraji wa aina gani, na wanaopata fedha kiasi gani, ni wale wenye art gallery wanaouza michoro yao kwa watalii in terms of dollers? au ni wachoraji wote hata kama huchori mara kwa mara? BASATA ingeainisha ni wachoraji wa aina gani na kiwango gani ndio inataka kuwasajili
 
Walipe kodi? Kodi italipwa hukohuko kwenye kununua material ya kufanyia kazi. Kah! serikali inataka ichukue hela hata sehemu isiyokuwa na hela, yaani hadi kwenye vipaji? Huo sio Ufundi wa VETA waseme kwamba walijenga chuo kwa hiyo walipe kodi! Kazi zenyewe zinapatikana kwa uchache hapohapo serikali inataka kodi huku haikujenga mazingira mazuri ya kusaidia wenye vipaji hivyo kujiajiri na kupata fedha waweze kulipa kodi yao. Mitaala yao mashuleni imeshindwa kumfanya mwanafunzi anapohitimu aweze kujiajiri na kubaki debe tupu na asiyeajirika popote. Leo kijana kajiajiri kwa kipaji chake alichojaliwa na Mungu naye apate mkate serikali bila ibu inajitokeza kutaka kodi. Kwanza serikali ifikirie wahitimu wengi wa msingi na sekondari wale wanaodhaniwa wamefeli kuendele na elimu za juu waje waajiriwa na kulipwa mshahara huishia wapi. Huwaacha wapotelee kusikojulikana, wanapobuni ajira zao wenyewe bila kusaidiwa na serikali ndio hapo napo serikali hujitokeza kutaka kodi wakati iliwadharau wahitimu bila kuwasaidia tena
 
Back
Top Bottom