Wasukuma wenzangu hii wanaifahamu

Ati? Sikua na nia vipi mkubwa nimeanza kuwinda takriban miaka mitano, ndege ameingia kwenye mtego naona tena dalili za kuachiwa manyoya.
Hapana kaka, ww endelea tu.
Mie ni she na huyu n rafiki yangu. Kazana tu uvute jiko ndani
 
Ngoja naja na id mpya sasa hivi kaa mkao wa kushangaa[emoji23][emoji23]

carbamazepine wivu tu unanitesa, kumbe huyo swahiba wako ni mwanamke tena wifi yako. Hizi ID noma sana.

Anatuandalia matobolwa, asali, karanga na kuku wa kutosha wa kienyeji.

Ila sio tufike huko ulete mambo ya diet, kule mnatengewa kuku mzima kuanzia kichwa hadi makanyagio, hawatupi hata utumbo. Ugali wa mtama wa motoo! Ukate kucha hakuna vijiko mpendwa. Usiniangushe tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…