kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 13,709
- 25,489
Juzi tulikua tunasafiri na bus la Allys star lile VIP lenye choo ndani kutoka Dar kuja Mwanza.
Safari ilianzia pale stand ya Magufuli,dakika chache baada ya safari kuanza yule mhudumu wa kike akatutangazia safari yetu itakua na vituo kadhaa vya kuchimba dawa ila akasema kama mtu atapatwa na changamoto ya tumbo kuvurugika asisite kusema ili dereva asimamishe gari na mtu husika ajisaidie.
Mhudumu akazidi kusisitiza kuwa ile choo ndani ya bus ni kwa ajili ya matumizi ya haja ndogo tu.
Cha kushangaza kabla hata hatujafika Morogoro,kuna binti mmoja wa kisukuma akaingia chooni,kumbe alivyoingia chooni yeye alikata gogo,mara harufu ikaenea bus zima,mhudumu alivyomfuata kumuuliza kulikoni akasema tumbo limemkata ghafla,wakazozana hapo weeee kisha mhudumu akaamua tu kumwaga maji yenye sabuni walau kukata ile harufu.kila mtu pale kwenye bus akawa anamshambulia kwa maneno yule binti wa kisukuma kwa alichokifanya.
Hatujafika hata Dodoma mshikaji mwingine nae kaingia chooni kakata gogo harufu ikaenea tena ndani ya bus,baada ya kuzozana sana ikabidi dereva aingie hotelini gari lisafishwe kwanza.
Nimegundua wasukuma ni jamii ambayo suala la ustaarabu bado sana kwa upande wao.