Wasukuma na Mapenzi

Wasukuma na Mapenzi

MkuuXyz

Senior Member
Joined
Jun 18, 2025
Posts
161
Reaction score
269
Wadau, kuna fununu nimekuwa nikizisikia kutoka mitaani na mitandaoni kuwa Wanawake WAKISUKUMA siyo mafundi katika suala zima la Mapenzi,

Watu wengi wanafananisha level ya Wasukuma kuwa ni sawa na ile ya wanawake wa Kenya, ..

Hebu wadau saidieni hapo, huu ni ukweli ( in general ) au ni fununu tu hizi.
 
Wanawake wa kisukuma kwenye kazi/ utafutaji/ uchakarikaji wako Vizuri sanaaaa
Ukikuta mwenye maadili ni maadili kweli kweli hadi majirani ndugu wataapreciate

Wacha wanaume waliowatia wanawake wa kisukuma waje kutoa mwongozo

Smart911 love hujawahi fumua msukuka utupemo kamwongozo????🤨🤔😊
 
Wanawake WAKISUKUMA siyo mafundi katika suala zima la Mapenzi,

Watu wengi wanafananisha level ya Wasukuma kuwa ni sawa na ile ya wanawake wa Kenya, ..

Unataka fundi kwani unajenga?
 
Mimi hapa msukuma haya sikia niwaambie nyie MAPENZI HAYAHITAJI UFUNDI UMARUFU UKIZIDI SANA NI USHAMBA hebu angalia leo taifa la tanzania SISI WASUKUMA NI WENGI KULIKO MAKABILA YOTE WHY Anaye chakalika kitandani ni mwanaume ikitoa maelekezo kwa mwanamke naye mke anatii kwautulivu anadaka goli mimba inatungwa maana mbwembwe zikizidi mimba haitungwi ispokuwa inaharibika wakati wa papara nyingi yai linapasuka maana yai ni lain likitikiswa kidogo2 linapasuka
 
Wadau, kuna fununu nimekuwa nikizisikia kutoka mitaani na mitandaoni kuwa Wanawake WAKISUKUMA siyo mafundi katika suala zima la Mapenzi,

Watu wengi wanafananisha level ya Wasukuma kuwa ni sawa na ile ya wanawake wa Kenya, ..

Hebu wadau saidieni hapo, huu ni ukweli ( in general ) au ni fununu tu hizi.
Ukitaka MKE mkeo, nenda kaoe msukuma aliyelelewa kwenye maadili traditional ya kisukuma (sio yale hybrid/ya uzunguuzungu). Ukitaka professional pornstar nenda kasource mke kwingine huko hasa maeneo ya Pwani uswahilini.
 
Wadau, kuna fununu nimekuwa nikizisikia kutoka mitaani na mitandaoni kuwa Wanawake WAKISUKUMA siyo mafundi katika suala zima la Mapenzi,

Watu wengi wanafananisha level ya Wasukuma kuwa ni sawa na ile ya wanawake wa Kenya, ..

Hebu wadau saidieni hapo, huu ni ukweli ( in general ) au ni fununu tu hizi.
Wakurya ndio wanafanana na wakenya angalia ata sura zao na jinsi walivyo wajasiri.
 
Wanawake wa kisukuma kwenye kazi/ utafutaji/ uchakarikaji wako Vizuri sanaaaa
Ukikuta mwenye maadili ni maadili kweli kweli hadi majirani ndugu wataapreciate

Wacha wanaume waliowatia wanawake wa kisukuma waje kutoa mwongozo

Smart911 love hujawahi fumua msukuka utupemo kamwongozo????🤨🤔
Sikumbuki kwa kweli... Hahaha
 
Back
Top Bottom