Wasukuma mnatoa wapi hizi nguo?

Wasukuma si ndo taifa kubwa ama hulijui hilo!!,kwanza wewe ni mrugulu ama muhehe /wewe ni kabila gani ndugu unipe mke nikupe ng'ombe wa kutosha?
Unaonaje we utupe mke tukupe tenga mbili za maembe, moja la maboga na gunia la magimbi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…