Wasukuma mambo mengine muwe mnauliza

Kwa mwanza,tabia za wasukuma wa Magu,Kwimba,Misungwi na maeneo ya Maswa,tabia zao ziko tofauti sana na wasukuma wa Geita,Sengerema na Chato. Kwa Shinyanga msukuma wa Bariadi na upande wa Maswa tabia zao ni tofauti na msukuma wa Shinyanga na Meatu,upande wa Kahama na Bukombe tofauti ni kubwa sana,ukitaja msukuma weka na ukande wake ili wadau wakuchambulie vzr.
 
Hahah!!!

Hao ndio walionyofoa mapazia ya treni hizi mpya za Mwakyembe?

Wanashangaaa hao uwiiiii usipaimeeeeee,,,yaan mzigo wowoteee ule lazima ufungwe furushii kanga au shukaa,,yaan mimi hua nikiwaona hua nakaa pembeni niwasikilizee weeeeee hnifurahi tu
 
Mleta mada we ni mpare! Naona ulivyojimegea! Hahahahaaa
 
Waha ni kibokooo aiseee hhhhhaaaàaaaa
Ushaona wanavyosafiri na mafurushi,yaan hata liwe begi litafungwa na shuka liwe furushii

Dada hujui kila kabila nchi hii ni watani wa wasukuma!!! Hawawezi kuwagusa waha au wataturu au wamasai, wanaenda kwa watani zao!!!

Karibuni tuendeleze utani!! Maana ndo jadi yetu watanzania!!
 
Wanashangaaa hao uwiiiii usipaimeeeeee,,,yaan mzigo wowoteee ule lazima ufungwe furushii kanga au shukaa,,yaan mimi hua nikiwaona hua nakaa pembeni niwasikilizee weeeeee hnifurahi tu

Wewe kuna wakara nao ni balaaa akija kusalimia anakuja n furushi lake mpka liishe ndio anaondoka.halafu wanaweza kuja 5 then wakiondoka wanapishana na wenzao kma 6 wanaingia....tulikua n jirani mkara mitaa y kirumba usipime nyumba ilikua n wa2 kma shule
 

:d:d:d:d
 
Mwambie yeye anafikiri waha washamba kuliko wasukuma, shule za bweni tulizosoma ndo kipimo hapo utakutana na makabila kibao ndo unaweza chuja mshamba nani

hana habari kwamba hii nchi waha ndo wajanja wa mjini. hata km mshamba ni siku ya kwanza tu. baada ya hapo ni ticha!
 
Mi basi nilifikiri waha maana kati ya kabila zilizokaa nazo hao ndo wametia fola.
Shule niliyosoma mimi Waha na Wakerewe ndio waliokuwa vituko kuliko hata wenyeji wasukuma!

umesomea wap?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…